Search results

  1. Nucky Thompson

    Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Line iliyokuwa renewed sio niliyoifuta, soma tena Line za kawaida zinafaa hadi milioni 10, zamani ilikuwa milioni 5, za biashara hadi milioni 50
  2. Nucky Thompson

    Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Sikuwasema hata vibaya, kasome uzi wangu wa mwanzo tena Nilikuwa naelezea mtiririko wa nilivyokuwa naenda ofisi zao na nilichokuwa naambiwa na Vodacom Sikusema kuwa wanataka kuiba hela au ni makusudi japo kuna wachangiaji wengi walisema hivyo Kuleta mrejesho ni kuwaondoa Vodacom kwenye tuhuma...
  3. Nucky Thompson

    Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  4. Nucky Thompson

    Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

    Ushauri upi mbaya aliopewa Rais ?
  5. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    TCRA kuna kitengo cha kushughulikia malalamiko kama hayo? Maana taasisi za serikali naziona kuna urasimu mwingi sana
  6. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wanaofungua ni Vodacom, nikienda TCRA walivyo na urasimu wataniambie nirudi Vodacom
  7. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Hela bado zipo mkuu, wanadai hili tatizo limetokea wengine pia Kuzitoa ndio ishu
  8. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Vigezo navifahamu, haihusiani na kukiuka vigezo hii, kama kuna kigezo ningeshaambiwa Na hakuna kigezo cha tofauti ukiweka 5000 na ukiweka milioni 5
  9. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Pesa waliangalia kwenye system bado ipo
  10. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wanadai uki renew tatizo halitaondoka maana waliofunga sio wao
  11. Nucky Thompson

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wakuu kwema? Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
  12. Nucky Thompson

    Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

    Aisee kwa hiyo inawezekana wametumia teknolojia kama hii nini..?
  13. Nucky Thompson

    Nani anaweza akaniambia huyu ni mnyama gani..?

    Nimemficha uso ili wengi wakose
  14. Nucky Thompson

    Nyumba 84 zinatarajiwa kupigwa mnada, baada ya wakopaji wa mikopo benki kuzitumia kama dhamana na kushindwa kurejesha fedha

    Kwa mujibu wa tangazo lililotoka Jumanne ya wiki iliyopita kwenye moja ya magazeti ya wiki, nyumba hizo zitapigwa mnada kwa awamu tofauti kuanzia mwezi huu hadi Julai baada ya wahusika kushindwa kurejesha mikopo waliyochukua kwenye benki ya NMB. Tangazo hilo ambalo lilitolewa na kampuni ya...
Back
Top Bottom