Nani anaweza akaniambia huyu ni mnyama gani..?

Inasikitisha hadi sasa hakuna aliyepata

Leo nimeamini Hii Nchi ina Wapumbavu wengi saaana ikiwemo wewe Mleta Mada 🤬🤬 Yani umeshindwa kabisa Kumtambua Huyo *KENGE* sasa wangemficha mkia je? Si ungetuma na video Unalia unaomba msaada! Acha upumbavu Huyo ni KENGE jike kabisaa tena Mjamzito Kitaalamu anaitwa Mavi Meusi
 
Back
Top Bottom