Watanzania kipindi hiki wanachagua maendeleo, wamechoka na blah blah. Kuulaumu leo Mkoa wa Dar es Salaam ni kukosa fadhila kisiasa.
2015 Jiji la Dar es Salaam liliongoza kwa kuwapa wabunge 6 (Mtulia, Mdee, Kubenea, Mnyika, Waitara na Mtolea) na madiwani lukuki..lakini kipi cha ajabu...
Nasoma bandiko hili na kauli ya Rais Uhuru aliyoitoa hivi punde ya kuongeza siku 21 kibano cha kutokutoka ama kuingia katika baadhi ya miji kama Nairobi, Mandera, Mombasa, Kilifi...
Tuache kutunga vitu...kwa mihemko ya kisiasa...ninyi ndio mnasababisha forum hii ionekane ya malofa kwa kuleta...
Aliyekutuma mwambie hapa si mahali pake, asubiri wakati ukifika ataenda kutetea nafasi yake kupitia utaratibu uliowekwa na chama na pia mchakato mzima kama akipita katika chama. InshaAllah.
Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla.
Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):
Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master Bedroom (kina choo chake)
Sebule ya Chakula (Dining Room)
Sebule ya Kupumzikia (Sitting Room)
Choo cha...
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):
Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master Bedroom (kina choo chake)
Sebule ya Chakula (Dining Room)
Sebule ya Kupumzikia (Sitting Room)
Choo cha...
Ufuasi wa siasa katika vyama hujengwa katika misingi ya itikadi. Swali la kujiuliza ni Je, wanaojiuzulu kwa kumuunga mkono rais kisha wanaenda kuchukua kadi za chama (ambacho kinaongozwa katika misingi ya itikadi) ni sahihi?
Hivi huyu Rais atakapomaliza muda wake, hawa watu watamuunga mkono...
Kuna kitu ambacho Wanabodi hamkijui katika uchaguzi wa sasa. CUF ya Seif iliyopo ndani ya UKAWA haina nafasi ya uteuzi ndani ya Tume ya Uchaguzi (NEC). Hii inamaana CUF ya Lipumba (ambaye si muumini wa UKAWA) ndiye mwenye nafasi kutokana na kutambulika kwake ndani ya Msajili wa Vyama vya Siasa...
Tunaipongeza Serikali yetu kwa jitihada ilizochukua katika kufanikisha majadiliano haya dhidi ya Barrick. Kwakuwa kumekuwa na maswali mengi kuliko majibu hasa baada ya taarifa ya makubaliano kutolewa, ni muhimu sasa Serikali yetu pendwa kutoa ruhusa ya walioshiriki katika majadiliano kujitokeza...
Bado nawasiwasi na utekelezaji wa huu Mradi. Sijamsikia Rais akigusia chochote juu ya mipango ya mradi huu hata alipokuwa katika ziara yake ya uzinduzi wa viwanda katika mkoa wa Pwani. Kwa manufaa ya Mradi huu, Rais wetu kamwe asingesita kuelezea chochote juu ya Mradi huu. Bila shaka kuna mengi...
Vyanzo vinadai kuwa kulipeleka swala hili mahakamani, litanyima fursa ya Bunge kulizungumzia. Binafsi sitegemei jipya kupitia Bunge hili na kama ikitokea basi utakuwa muujiza wa kwanza wa Bunge letu katika Serikali hii "tata". Hoja ya "collective responsibility" ni changamoto katika mhimili huu...
Kwanza naomba kutamka wazi kuwa Rais wetu pendwa, pasipo kutarajia amejikuta ndani ya mgogoro wa kikatiba katika teuzi zake. Ni kweli Mkuu wetu amevunja katiba ama yuko katika tishio la kuvunja katiba, na hili halina ubishi kwani ibara ya 66.- (1) (e) iko wazi na haina utata wowote...
KATIKA HILI BILA KUJALI CHAMA CHANGU, MAKONGORO YUKO SAHIHI: RAIS WETU AMEPOTOSHWA (Kwa lugha ya kistaarabu na kitaasisi), KATIBA IMEVUNJWA na HAKUNA NAMNA INABIDI UTEUZI WA MMOJAWAPO UTENGULIWE ili KUILINDA KATIBA japo HESHIMA YA U-RAIS kama TAASISI ITATIKISIKA kidogo HASA UKIZINGATIA HALI YA...
Nimesoma kwa makini mchanganuo wa zabuni hizi zenye jumla ya shs. 1.6 b, japo kunaweza kuwa na mashaka, hasa katika Taifa ambalo "deal" ni jambo la kwanza kabla ya mambo mengine. Viongozi wetu wanaweza kuwa Waadilifu na Waungwana sana ila Wafanyabiashara (Wazabuni) wakawa na makandokando yao...
Mawazo duni haya sijapata kusikia. Hivi "Katitu" uko vizuri upstair? Nani mwenye jukumu la kuandaa Viongozi? Hivi Mbowe ni kiongozi bora kuliko wengine waliomo ndani ya Chadema? Ikiwa ni hivyo, basi hamstahili kabisa sio kushika tu bali hata kuwaza kushika dola.
Ni vizuri ungeweka na majina yao japo baadhi ili tuwajue hawa Friends of Lowassa.Team Lowassa hatuna shida nao maake hawa ni "vidagaa" tu, tupe majina ya hao "nyangumi"
Nduka sidhani kama kuna watu wenye akili timamu wanawasapoti hawa jamaa. Yaani ni usanii to the highest level. Pengine niijue hiyo Kamati Kuu ni ya watu gani, vinginevyo nitakuwa nawaonea hawa viumbe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.