NYUMBA NZURI INAUZWA MUSOMA MJINI

NYUMBA NZURI INAUZWA MUSOMA MJINI

apolycaripto

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
644
Reaction score
225
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):

  1. Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master Bedroom (kina choo chake)
  2. Sebule ya Chakula (Dining Room)
  3. Sebule ya Kupumzikia (Sitting Room)
  4. Choo cha jumuia (Public Toilet)
  5. Stoo
  6. Jiko
  7. Kiwanja ni kikubwa kwa maana ya kuweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo na kubaki (Medium Density)

Hali ya Nyumba: Nyumba imekamilika ikiwa na umeme na maji, ina hati na haidaiwi popote.
Bei ni Milion 45 bila dalali. Mawasiliano piga 0713 172 395/ 0766 024 628 (Mwenye Nyumba)

MUHIMU: Mteja kujitahidi kufika eneo husika na kuona kwanza nyumba ama kumtumia mtu aliyekaribu na eneo husika yaani Musoma Mjini na ushirikiano atapewa wa kutosha.
 
Ghorofa lote hilo unauza 45m?
Ngoja niangalie vibubu vyangu!!
Kitu cha ukweli jombaa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom