Nyumba nzuri inauzwa musoma mjini

Nyumba nzuri inauzwa musoma mjini

apolycaripto

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
644
Reaction score
225
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):

  1. Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master Bedroom (kina choo chake)
  2. Sebule ya Chakula (Dining Room)
  3. Sebule ya Kupumzikia (Sitting Room)
  4. Choo cha jumuia (Public Toilet)
  5. Stoo
  6. Jiko
  7. Kiwanja ni kikubwa kwa maana ya kuweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo na kubaki (Medium Density)

Hali ya Nyumba: Nyumba imekamilika ikiwa na umeme na maji, ina hati na haidaiwi popote.
Bei ni Milion 45 bila dalali. Mawasiliano piga 0713 172 395/ 0766 024 628 (Mwenye Nyumba)

MUHIMU: Mteja kujitahidi kufika eneo husika na kuona kwanza nyumba ama kumtumia mtu aliyekaribu na eneo husika yaani Musoma Mjini na ushirikiano atapewa wa kutosha.
 
nyumba yenyewe ndio hiyo! rekebisha nyufa kwanza
 
Nami nauza NYUMBA ipo KILUVYA kwakomba. Ina rooms tatu moja ni masta, ina public toilets and bath rooms, umeme, maji ya dawasco, imeezekwa kwa bati za msaouth disaini ya vigae, uwanja ni 30*40 a 1 km from Main road. Kwa yoyote anae hitaji namba za simu ni 0717250250 au 0757615888. Karibuni sana.
 
Mbona bei yako ni kubwa sana.
 
mbona bati sio za msauzi kama unavyodai?
 
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, jirani na shule ya chekechea ya Kanisa Katoliki, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):

  1. Vyumba sita vya kulala ila kimoja wapo ni Master Bedroom (kina choo chake)
  2. Sebule ya Chakula (Dining Room)
  3. Sebule ya Kupumzikia (Sitting Room)
  4. Choo cha jumuia (Public Toilet)
  5. Stoo
  6. Jiko
  7. Kiwanja ni kikubwa kwa maana ya kuweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo na kubaki (Medium Density)

Hali ya Nyumba: Nyumba imekamilika ikiwa na umeme na maji, ina hati na haidaiwi popote.
Bei ni Milion 45 bila dalali. Mawasiliano piga 0713 172 395/ 0766 024 628 (Mwenye Nyumba)

MUHIMU: Mteja kujitahidi kufika eneo husika na kuona kwanza nyumba ama kumtumia mtu aliyekaribu na eneo husika yaani Musoma Mjini na ushirikiano atapewa wa kutosha.
picha tafadhali....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamii forum Raha sana,, hizo comment tuu zimeniacha hoi
 
Iyo nyumba mbona iko bondeni vp mafuriko hapo apafai ata kidogo!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂Ha haaaaa 😂😂
 
Nami nauza NYUMBA ipo KILUVYA kwakomba. Ina rooms tatu moja ni masta, ina public toilets and bath rooms, umeme, maji ya dawasco, imeezekwa kwa bati za msaouth disaini ya vigae, uwanja ni 30*40 a 1 km from Main road. Kwa yoyote anae hitaji namba za simu ni 0717250250 au 0757615888. Karibuni sana.

Sorry kiluvya iko mkoa gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom