Search results

  1. K

    Kandambili zlivyozua kizaazaa Igunga

    Dogo mmoja akiwa road akiwa kavalia kandambili chakavu zilizo na mishono zaidi ya mia moja. Gafla kandambil hzo zilikatika. Dogo akiwa anaangaika kuzitengeneza mara atatokea babu mmoja ambaye dogo alimuomba amsaidie kuzitengenez. Baada ya babu huyo kuzchek nakunna ni vgumu kutengenezeka...
  2. K

    Kikwete kulia au kushoto?

    Inasikitisha pale rais wetu mpenda jk anapozdi kuwakumbatia na kuwapa nyazifa viongoz waliomwagwa na kukataliwa na wana nch katika mchakato wa uchaguz 2010. Mfano Kamala aliyekua mbungd wa nkenge, malmo. Kwani hakuna wa2 wengine wanaoweza kukaim nafasi hyo?
  3. K

    Elimu ya kichawi

    Selikar ya Tz bwana! Inategemea miujiza katika kuboresha elimu. . Baada ya matokeo ya la saba serikal yatoa tamko kwamb mwanafunz aliye fauru na hajui kusoma na kuandika hasripot katka shule aliochaguliwa. Swali ni kwamba kwanini serikal ilifuta mchujo wa darasa la nne. Kupitia mitihni hii...
  4. K

    Naomba kusahdiwa jamani

    Namgenda sana girl friend wangu but ananinyima raha kwani anaharufu mbaya kinywani. Kumwambia nashndwa atahsinamnyanyapaa. Nikikataa anidende anakasirika.
  5. K

    Yanini kujisifu

    Hivi kwani katiba mpya ni ya m2 binafsi,chama au wananch sote? Basi mi vyama vya siasa vinavyojisifu kua ndowaanzilish wa mchakato huo wananiudh.
  6. K

    Wanasiasa wanakotupeleka sio

    Hivi kwanini wanasiasa uwa wanaamini kuwa hoja zao ni za ukweli kuliko za watu wengine. Hebu kumbuka selina kombani aliposema hakuna haja ya katiba mpya iliyopo inatosha. Alikua sahihi kwel?
  7. K

    Do u want another song

    Jamani kwanin et M ugabe anagombea urais tena. Mara hii kata na single kama museven.
  8. K

    Elimu kawambwa

    Heti waziri wa elimu anashnikiza wanafunzi wa elimu ya juu waandamane kushinikiza wahtim warudishe hela ya mkopo. Kwanini hawakuwashawish wanafunz na wananch wa kawaida waandamane kushnikiza mafisad wa EPA warudishe fedha za serikar z2mike kwa maendeleo ya nch na watu wake?
  9. K

    Kwanini matatizo ya kugombania ardhi yatokee kipindi hiki cha utawala?

    Hiv inaingia akilini , watu wamekaa sehem miaka 50 then anatokea mtu heti mwekezaji anadai sehemu niyake miaka 50 iliopita then anaakuwabomolea wakaz nyumba zao. Inamaana wakolon wanarud kutumia ardh yao walioacha kabla ya uhuru?
  10. K

    Eti uchumi wa T anzania wapanda nafasi saba!

    Mmmm! Nikweli report ya UNDP inasema ukwel? Make naona thamani ya sh ya Tanzania inaporomoka afu eti uchumi unapanda. Je nikwel?
  11. K

    Kumbe (waziri mkuu wa wingereza) David Cameroon shoga!

    Wingereza wanachekesha sana. Tanzania tuliwafukuza waingereza na 2kajipatia uhuru mwaka 1961. Sasa leo hii 2nasherekea miaka 50 ya uhuru na kauli ya waziri mkuu wa wingereza kwamba nchi zilizo wah kutawaliwa na Mwingereza zikubali sheria ya ndoa ya jinsia moja lasivyo itazinyimwa misahada...
  12. K

    Kujivua gamba ni mbinu ya ccm kumsafisha ******

    Jaman watz nadhani mmejionea dhahir kuwa serikali ye2 kupitia ccm haina nia ku2nusuru sis watz dhid ya maish mabov 2nayokumbana nayo kila kukich bali wanaangaika kikinusur chama cha ccm. Watawafumbiaje macho mafisadi wanaosababish hal ya watz na taifa kwa ujumla kuwa duni then waangaike na...
  13. K

    Mchagua jembe? .....

    Eti wana jf kuna ulazima gani kwa mawazir wa serikali yetu jukumbushwa majukum yao? Na aliyewateua pale akigundua hawawezi kazi c awatimue? Wewe unahisi na ki2 gana kinawafanya wa2 hawa wakajisahau?
  14. K

    Suplimentary yazua kizaazaa cbe

    Mwalimu mmoja wa CBE alijikuta akinyanganywa gari lake na denti baada ya denti kumuomba tcha huyo amtnlee sap kwani alikuwa mwaka wa mwisho kimasomo. Ticha alikubali lakini kwa shariti kuwa sup hiyo itolewe gest. Dent alikubali ila siku ya 2kio aliwaandaa rafiki zake ambao aliwaelekeza haina ya...
  15. K

    Mada wetu wa kichagga nao......!

    Hivi nikwanin dada zetu wakichaga shep zao huwa azielewek? Make miguu midogooo! Alafu kifuani wamejaliwa then hips do magumash na miondoko yao ya ajabuajabu
  16. K

    Rostam na wenzake wametutwisha watanzania taji la miiba

    Jamani watanzania naomba kuwauliza kama kuna m2 aliyewahi kusikia tamko kwa rais kuhusu Dowans na bilion 90? Mwenzenu najiuliza swali, kama katiba yetu inamruhusu rais kutoa msamaha kwa mtu mwenye hatia,kubadilisha adhabu iliyotolewa na mahakama je kwanin raisi wetu asitoe tamko kuhusu...
Back
Top Bottom