Mada wetu wa kichagga nao......!

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Hivi nikwanin dada zetu wakichaga shep zao huwa azielewek? Make miguu midogooo! Alafu kifuani wamejaliwa then hips do magumash na miondoko yao ya ajabuajabu
 
Unauhakika hapo ulipo ni uchaggani au umevuka mpaka uko Kenya???
kenye kuna Vihunde ile mbaya wakiongozwa na First Lady wao.
 
Hivi nikwanin dada zetu wakichaga shep zao huwa azielewek? Make miguu midogooo! Alafu kifuani wamejaliwa then hips do magumash na miondoko yao ya ajabuajabu

Nahisi umenyimwa mambo na mmoja wao, ndo ukaamua kulipiza kwa kuja hapa jf na kuandika utumbo wako. Jiheshimu aisee utaumia!!
 
Wamekosa lishe bora, wanashindia ndizi, ndo maana siku hiz kuna tofauti ya wale mjin na wale uchagani.
 
Hivi nikwanin dada zetu wakichaga shep zao huwa azielewek? Make miguu midogooo! Alafu kifuani wamejaliwa then hips do magumash na miondoko yao ya ajabuajabu
mie nawapongeza wanawake wa kichaga kwa kuwa na sura nzuri Tanzania nzima.miguu ni tatzo la milima iliyopo kilimanjaro,ila siku zote mwanamke reception shepu majaliwa.mwanamke sura,shepu hata kwa mchina ipo.
 
Jamani mbona wachagga tu kila siku mbona hamsemi totoz za kizigua, kibondei, wanyaturu, wamasai wafipa wagogo, wapogoro? eeenh daily wachaga tuuu mpaka sie tulieoa uchagani sasa tunaboreka agrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
wapo wengi tu wenye mashepu mazuri
 
Bila wachaga Tanzania itayumba kubali kataa, HABARI NDIYO HIYO :clap2::clap2::clap2:
 
unawazungumzia wachaga wa wapi?..maana unaleta zereu sasa kwa hawa dada zetu:angry:

Hivi nikwanin dada zetu wakichaga shep zao huwa azielewek? Make miguu midogooo! Alafu kifuani wamejaliwa then hips do magumash na miondoko yao ya ajabuajabu
 
:clap2:wanafunika sana ndo maana hawachoki kuwajadili kila mara ngoja :coffee: be rait bak
Jamani mbona wachagga tu kila siku mbona hamsemi totoz za kizigua, kibondei, wanyaturu, wamasai wafipa wagogo, wapogoro? eeenh daily wachaga tuuu mpaka sie tulieoa uchagani sasa tunaboreka agrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Mtakula kuona!Wivu tu umewajaa..miguu miguu..kwani ya uChaggani haitembei?
 
asilimia kubwa ya ma-miss tanzania ni from chagga land, ulivyoleta hii thread hapa ulimaanisha nini??? umefanya research and what was your sample size??? usikurupuke kutoa comment hapa bila kuwa na uhakika.
go to school!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom