Mchagua jembe? ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchagua jembe? .....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaleju, May 10, 2011.

 1. k

  kaleju Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti wana jf kuna ulazima gani kwa mawazir wa serikali yetu jukumbushwa majukum yao? Na aliyewateua pale akigundua hawawezi kazi c awatimue? Wewe unahisi na ki2 gana kinawafanya wa2 hawa wakajisahau?
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hawana lolote hawa ni wafa maji tu...........sasa wanatapatapa.
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Vilaza wakiongozwa na Kilaza wote.....?
   
Loading...