Kandambili zlivyozua kizaazaa Igunga

Kandambili zlivyozua kizaazaa Igunga

kaleju

Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
48
Reaction score
2
Dogo mmoja akiwa road akiwa kavalia kandambili chakavu zilizo na mishono zaidi ya mia moja.
Gafla kandambil hzo zilikatika. Dogo akiwa anaangaika kuzitengeneza mara atatokea babu mmoja ambaye dogo alimuomba amsaidie kuzitengenez.
Baada ya babu huyo kuzchek nakunna ni vgumu kutengenezeka akamwambia 'dogo hizi mwachie mungu'.
Nadogo akamuuliza kwani hzi mungu zitamtosha mbona ndogo. Make nasikiaga watu wanamsifu mungu kua ni mkubwa
 
Marudio haya! Tulishaisoma, haichekeshi!!!
 
Back
Top Bottom