Kujivua gamba ni mbinu ya ccm kumsafisha ******

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Jaman watz nadhani mmejionea dhahir kuwa serikali ye2 kupitia ccm haina nia ku2nusuru sis watz dhid ya maish mabov 2nayokumbana nayo kila kukich bali wanaangaika kikinusur chama cha ccm.

Watawafumbiaje macho mafisadi wanaosababish hal ya watz na taifa kwa ujumla kuwa duni then waangaike na wale wanaothoofisha ccm?
Then wanasema mtoto wa nyka ni nyka wamemtoa makamba mkubwa wakamweka mdogo!
Tena heti wanajipanga kwa uchaguz wa 2015 badala washugulikie maendeleo ya nchi. Gamba gamba!
 
Back
Top Bottom