Kwanini matatizo ya kugombania ardhi yatokee kipindi hiki cha utawala? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini matatizo ya kugombania ardhi yatokee kipindi hiki cha utawala?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaleju, Nov 8, 2011.

 1. k

  kaleju Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiv inaingia akilini , watu wamekaa sehem miaka 50 then anatokea mtu heti mwekezaji anadai sehemu niyake miaka 50 iliopita then anaakuwabomolea wakaz nyumba zao.
  Inamaana wakolon wanarud kutumia ardh yao walioacha kabla ya uhuru?
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nahdani ndo tunakoelekea japo twaelekea in direct
   
Loading...