Elimu ya kichawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya kichawi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kaleju, Dec 16, 2011.

 1. k

  kaleju Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Selikar ya Tz bwana! Inategemea miujiza katika kuboresha elimu. .
  Baada ya matokeo ya la saba serikal yatoa tamko kwamb mwanafunz aliye fauru na hajui kusoma na kuandika hasripot katka shule aliochaguliwa. Swali ni kwamba kwanini serikal ilifuta mchujo wa darasa la nne. Kupitia mitihni hii watoto wasiojiweza walirudia darasa na kupikwa upya ili watakapo maliz la saba wajiunge sec wakijua kusoma na kuandika
   
Loading...