Wanasiasa wanakotupeleka sio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa wanakotupeleka sio

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaleju, Nov 13, 2011.

 1. k

  kaleju Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini wanasiasa uwa wanaamini kuwa hoja zao ni za ukweli kuliko za watu wengine.
  Hebu kumbuka selina kombani aliposema hakuna haja ya katiba mpya iliyopo inatosha. Alikua sahihi kwel?
   
Loading...