Search results

  1. Allency

    Shamba linapangishwa Mbalali Mkoa wa Mbeya

    Shamba la kulima mpunga linapangishwa, Ekari 60. Liko kijiji Cha Nyeregete, Kitongoji cha Magwalisi. Lina miundombinu mizuri ya kuingiza na kutoa maji shambani. Shamba lina uhakika wa maji. Liko karibu na mfereji mkubwa wa maji. Bei ni sh 400,000/= kwa eka kwa kila msimu. Njoo Pm kwa more details
  2. Allency

    Muhasibu Bukoba

    Habari wana jamvi. Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
  3. Allency

    Kufutiwa kesi chini ya kifungu (255)

    Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwa mada. Je kesi ikifutwa chini ya kifungu namba 255 kwa sababu ya kukosekana kwa ushahidi, je statement/s iliyokuwa imeshapokelewa na Hakimu kama ushahidi inaweza tolewa kwenye file la Hakimu pale kesi ikirudi tena police? Asanteni
  4. Allency

    Nimesahau mzigo ndani ya basi

    Habari wakuu. Moja kwa moja kwenye mada, Jumapili iliyopita ya tarehe 05/06/2022 mida kama ya saa 1 usiku kuelekea saa mbili nikiwa natoka Dar kwenda Morogoro ndani ya bus mali ya kampuni ya Frester nikaamua kushukia Chalinze na kusahau begi langu lenye computer na vitu vingine. Nikatafuta...
  5. Allency

    Tatizo la Uume kuwasha karibu na kichwa

    Habari zenu wana Jf? Moja kwa moja kwenye mada, hivi karibuni nimeanza ku experience muwasho sana kwenye uume pale karibu na kichwa, mwanzo ulikuwa muwasho tu na mchubuko kidogo ila sasa naona mchubuko unapona lakini panatoa kama tumagamba flani hivi, huwa natubandua/kututoa lakini baada ya siku...
  6. Allency

    Naomba kufahamishwa jinsi ya kuzuia meseji za matangazo ya michezo ya kubahatisha

    Habari za asubuhi wana Jf. Natumai wote ni wazima. Naomba niende moja kwa moja kwenye swala langu, Ninaweza vipi kuzuia kupata messages kutoka kwenye hizi kampuni(Binafsi zinanikera sana) kama Boompesa,Mojaspesho,Mojabeti na wengine wote wenye mfanano kama huo? Nimewahi wasiliana na watoa...
  7. Allency

    Je, Jamii Forums ni sehemu sahihi kwa wanasiasa kupata sympathy ya wananchi?

    Kwanza naomba niwasalimu wote na kuwapa pole kwa majukumu ya leo, Naenda moja kwa moja kwenye swali langu, hivi JamiiF itorums ni sehemu sahihi kwa wanasiasa kupata sympathy ya wananchi au kueneza propaganda chafu au safi? Nauliza kwa sababu JamiiForums ni sehemu ambayo wengi wao(wafuatiliaji...
  8. Allency

    Iphone 6 na 6 S

    Habari wana jf, Ninauza simu used Iphone 6 spec grey na Iphone 6 S gold. Iphone 6 spec grey ni 490000, While Iphone 6 S Gold goes at 570000 Please pm for more information na picha.
  9. Allency

    Tafadhali naombeni msaada wa kutambua kitu hiki na matumizi yake

    Habari wana jamvi, Tafadhali naombeni msaada wa kutambua kitu hiki na matumizi yake. Ukikishika kipo kama sponji. Asanteni
  10. Allency

    House4Rent Nyumba ya Kupanga

    Habari wana Jf. Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo -Kimara -Mbezi zote -Africana mpaka bunju -Goba Budget yangu maximum ni 250,000/= Mwenye nyumba maeneo hayo aje Pm yutajenge.
  11. Allency

    Iphone 5S

    Nahitaji haraka sana simu tajwa hapo juu (Iphone 5S). Bei itategemea na Specs zake. Dau langu linaanza na 230 kwenda juu. Kama unayo please ni inbox, nependelea zaid rangi ya gold japo hata rangi zingine naweza chukua. Yangu imeibiwa juzi kati so fake na za longolongo najizua.
  12. Allency

    Vazi la kuvaa kwenye utambulisho ukweni

    Habari zenu wana jf, Bila kuwachosha na salamu nyingi naomba niende moja kwa moja kwenye swala langu, Siku si nyingi zijazo nami naenda ukweni kwa utambulisho rasmi (Si kutoa mahari) kwa wenzetu hawa wachaga, Linalonipa changamoto ni vazi gani litafaa huko maana nisije vaa kama mtu anayeenda...
  13. Allency

    Tanzania ya deadline

    Habari wana jamvi, Leo nmeamka nkaanza kutafakari deadlines nilizonazo nkaishia kuwaza all of them zitabaki livelines , jaribu kufikiri kidogo hizi deadlines; 1: Mkopo wa chuo (30 days) 2: TIN Verification (Mwisho ilikuwa mwezi huu tetesi wameongeza) 3: Land title deed ( 2 Months ) 4: Working...
  14. Allency

    Watakosa motisha

    Upuuzwe na kulaaniwa milele yote
  15. Allency

    Mwenge kuna nin jioni siku za kazi, Foleni inazidi sana

    Habari zena wana Jf, hapa huwa naamini sana kuwa ni sehemu ya kupata maarifa ya jambo au kitu mtu asichokuwa na taarifa nacho, Recently hii junction ya mwenge imekuwa na jama hatari sana kwa sisi tunaokuwa tunatokea upande wa Tegeta na njia ya Coca Cola hasa nyakati za jioni kwani traffic aliye...
  16. Allency

    Blind date hii noma sana

    Habarini sana wana Jf aka Gtz, Moja kwa moja kwa mada, Kwa upande wangu kila nikienda kwenye blind date na member wa Jf yani nakuta ni tofauti na expectations zangu, yani wengi wao hawalipi au jinsi changia yake kwa mada ni tofauti kabisa na mwonekano wake halisi, mwisho wa siku it does not...
  17. Allency

    Pop system

    Kwenu wadau, Kwa mtu yoyote or small firm/ entity kama unahitaji Pos(point of sale) system ambayo waweza integrate na Efd au ukatumia just normal slip printer basi wasiliana na mim ili nkupe suluhisho ya hitaji lako.
  18. Allency

    HP laptop inahitajika

    Habari wan jf Nataka kununua laptop mpya ya Hp na budget yangu ni 550000/= Tatizo sina mda wa kwenda madukan kutafuta so kama mtu ako nayo iwe na box lake anijuze tufanye biashara. Ukiweka na spec zake itakuwa poa japo sihitaji ya spec kubwa sna mana namnunulia mtu kwa matumiz madgo tu ya...
  19. Allency

    Kopa kopa kopa

    Ninatoa mkopo kwa riba nafuu ya 20% kwa mwezi. Maximum you can get ni 500000/= Ni PM kama unataka maelezo zaidi
  20. Allency

    POS (Point of Sale) Software

    Habari zenu wadau, Ninauza POS software kwa watu wenye small retail business na Whole sellers kwa bei nafuu (USD 300). Hii ni maalumu kwa watu wanye pharmacies, Restaurants, Bars na hata maduka ya kwaida. Kwa atakayekuwa tayari anaweza kuni PM ama kunipigia kwa simu 0713968649 kwa ajili ya...
Back
Top Bottom