Habari wan jf
Nataka kununua laptop mpya ya Hp na budget yangu ni 550000/=
Tatizo sina mda wa kwenda madukan kutafuta so kama mtu ako nayo iwe na box lake anijuze tufanye biashara. Ukiweka na spec zake itakuwa poa japo sihitaji ya spec kubwa sna mana namnunulia mtu kwa matumiz madgo tu ya office.
Asanten