Shamba linapangishwa Mbalali Mkoa wa Mbeya

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
13,734
13,104
Shamba la kulima mpunga linapangishwa, Ekari 60. Liko kijiji Cha Nyeregete, Kitongoji cha Magwalisi. Lina miundombinu mizuri ya kuingiza na kutoa maji shambani. Shamba lina uhakika wa maji. Liko karibu na mfereji mkubwa wa maji. Bei ni sh 400,000/= kwa eka kwa kila msimu.
Njoo Pm kwa more details
 
Back
Top Bottom