Habari zena wana Jf, hapa huwa naamini sana kuwa ni sehemu ya kupata maarifa ya jambo au kitu mtu asichokuwa na taarifa nacho, Recently hii junction ya mwenge imekuwa na jama hatari sana kwa sisi tunaokuwa tunatokea upande wa Tegeta na njia ya Coca Cola hasa nyakati za jioni kwani traffic aliye zamu huita magari ya kutoka posta tu kwa mda mrefu sana mpaka ninafikia kipindi mim huanza kupiga honi kama ishara ya kuwa katusahau sana, je kuna yoyote anayejua kinachoendelea??
Mana kwa kweli ni kero sana, waweza kaa saa nzima au zaidi wakati wanaotoka mjini wanapita tu, yani mpaka nao wanakuwa na jam lakini bado anaita upande huo tu.
Mana kwa kweli ni kero sana, waweza kaa saa nzima au zaidi wakati wanaotoka mjini wanapita tu, yani mpaka nao wanakuwa na jam lakini bado anaita upande huo tu.