Tatizo la Uume kuwasha karibu na kichwa

Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
13,731
13,100
Habari zenu wana Jf?
Moja kwa moja kwenye mada, hivi karibuni nimeanza ku experience muwasho sana kwenye uume pale karibu na kichwa, mwanzo ulikuwa muwasho tu na mchubuko kidogo ila sasa naona mchubuko unapona lakini panatoa kama tumagamba flani hivi, huwa natubandua/kututoa lakini baada ya siku mbili tunarudi tena. Mpaka sasa sijatumia dawa yoyote hivyo naomba kwa wajuvi wanisaidie kujua tatizo au ni ugonjwa gani pamoja na ushauri. Asanten
 
Mkuu hao ni fungus wa ngozi, tafuta dawa mapema kabla hawajashuka kwenye kende maana wakifika huko utapata tabu ambayo hujawah ona...
 
Back
Top Bottom