Search results

  1. KIGENE

    TANZIA: Mtangazaji mkongwe aliyewahi kutangaza Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani, Florian Kaiza afariki

    Aliyekuwa mtangazaji mkongwe mstaafu wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi, Mugana, Mkoani Kagera. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe AMINA.
  2. KIGENE

    TANZIA

    Aliyekuwa mtangazaji mkongwe wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi,Mugana. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  3. KIGENE

    Taazia: Mtangazaji Mkongwe wa Radio Tanzania na Sauti ya Ujerumani, Florian Kaiza afariki dunia

    Aliyekuwa mtangazaji mkongwe wa Redio Tanzania na Sauti ya Ujerumani Florian Kaiza ameaga dunia leo jioni katika hospitali teule ya wilaya ya Missenyi,Mugana. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
  4. KIGENE

    Kaguta Museveni awasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi tena

    YALIYOJIRI MAENEO YA MPAKANI ZIARA YA RAIS MSEVENI WA UGANDA OCT 4,2016 Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda Leo ametoa Mabati 30,Saruji ,misumari na Saruji yenye uwezo wa kujenga nyumba ya mabati 30 kwa kila Kaya iliyoathiriwa na Tetemeko la ardhi hii kwa Raia wa Uganda waliopo mpakani jirani...
  5. KIGENE

    Mgombea ubunge wa CHADEMA ahukumiwa miezi sita

    Mgombea ubunge katika Jimbo la Kilombero mkoani Morogoro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijuakali amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi sita baada ya kukutwa na hatia ya kumtukana ofisa mtendaji wa kata. Mahakama wilayani Kilombero imetoa hukumu hiyo baada ya...
  6. KIGENE

    Waganda wanyongwa kwa kuingiza madawa ya kulevya China

    Bwana Andrew Ham Ngobi ambaye alinyongwa June 24th 2014 na Omar Ddamulira kunyongwa tarehe 21st May baada yakukamatwa na madawa ya kulevya nchini China. Wawili hao ni kati ya Waganda wapatao 53 waliokamatwa na madawa ya kulevya na kuhukumiwa aidha kunyongwa,kufungwa maisha au vifungo kati ya...
  7. KIGENE

    Kaguta agoma kuwaongeza mishahara wabunge Uganda

    Msemaji wa Wizara ya Fedha ya Uganda,Jim Mugunga ameliambia Shirika la habari la AFP,kuwa ombi la wabunge lakutaga waongezewe mshahara,limegonga mwamba. Mugunga aliendelea kusema kuwa,pamoja na serikali kudhamini kazi nzuri inayofanywa na wabunge hao,kwa sasa mishahara ya wabunge sio kipaumbele...
  8. KIGENE

    Shillingi bilioni 7 alizogawa Lowassa ili kwenda ikulu kuchunguzwa

    WAKATI Chama cha Mapinduzi (CCM) kikiwasimamisha kuwania uongozi kwa mwaka mmoja wanachama wake sita wanaotajwa kuwania urais 2015, vyombo vya dola vimeanza kuchunguza fedha zinazotajwa kutumika na mmoja wa viongozi hao katika harakati zake hizo, Raia Mwema limeelezwa. Taarifa rasmi ya CCM...
  9. KIGENE

    Binti Mwingereza aliyemwagiwa tindikali Zanzibar aapa kurudi tena mwakani

    Kirstie Trup, miaka 18 yule binti wa Kiingereza aliyemwagiwa tindikali akiwa na mwenzie Katie Gee 18 mji Mkongwe huko Zanzibar mwezi uliopita, ameapa kurudi tena mwakani kuendeleza kazi yake ya kujitolea kuwasaidia watoto wa Zanzibar na kuwasaidia polisi kuwakamata vijana wawili waliowadhuru na...
  10. KIGENE

    Mmiliki wa kampala international university hafai

    Mmiliki wa KIU Bassajabalaba ni mfanyabiashara anayeendesha shuguri zake kwa njia za kifisadi na zenye utata. Pamoja na biashara mbalimbali alizopata kuzifanya alikuwa ni muuzaji wa ngozi za wanyama (raw hides) nchi za nje, alijipatia mikopo mikubwa kutoka benki hili kufanikisha biashara hizo...
  11. KIGENE

    Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

    Kwa mjibu wa msemaji wa jeshi la Polisi Advera Senso kupitia Clouds Fm leo asubuhi mtu mmoja aliyemtaja kwa jina moja kama Komba ameshakamatwa kuhusiana na kuwepo mtandao mkubwa ndani na nje ya jeshi hilo unajiusisha na kuwalaghai vijana wanaotaka kujiunga na jeshi la polisi. Inasemekana vijana...
  12. KIGENE

    Shein awashukia wapinga Muungano

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeendelea kusisitiza msimamo wa kutetea na kupigania Muungano wa serikali mbili na kuvionya vyama vingine kuacha kukisemea. Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, alisema jana mjini hapa katika mkutano wa wajumbe Baraza la Wazee wa CCM...
  13. KIGENE

    Karume atengwa, picha zake zachanwa Z’bar

    WATU wasiojulikana wamechana mabango yenye picha za Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Zanzibar, huku umati mkubwa ukijitokeza kumpokea Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM Zanzibar, Rais Dk. Ali Mohammed Shein. Mabango hayo yakiwa na ujumbe wa...
  14. KIGENE

    Nape awatetea UVCCM

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema kuwa Watanzania hawapaswi kushangazwa na kitendo cha vijana wa UVCCM kuchapana makonde juzi hadharani kwani tukio hilo si la kwanza kutokea kwao. Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu, Nape alisema ugomvi wa juzi katika makao makuu...
  15. KIGENE

    Wabunge wageuzia kibao Takukuru

    WABUNGE wameigeuzia kibao Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa ndiyo inaongoza kwa vitendo vya rushwa. Wakizungumza kwa jazba jana jijini Dar es Salaam katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa, ikiwa ni harakati ya mapambano ya rushwa, wabunge hao...
  16. KIGENE

    Makundi CCM yamzonga Kikwete

    MAKUNDI ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), yanaonekana kumwelemea Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete, na sasa ameamua kutumia mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT), kukemea vitendo vya kudhalilishana na makundi wakati na baada ya uchaguzi. Rais Kikwete pia alionya juu...
  17. KIGENE

    Fidel Castro asema yuko fiti kinoma

    Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro amekanusha vikali taarifa zinazosambazwa na vyombo vya habari vya magharibi na kulikandia hasa gazeti la Hspania la ABC pamoja na mitandao ya kijamii, kwa kuutangazia ulimwengu kuwa afya yake imedorola ile mbaya,Castro alitamba kuwa ni muda sasa ajasumbuliwa...
  18. KIGENE

    Mtoto wa Gaddafi auwawa katika uwanja wa mapambano

    Khamis Gaddafi 28 mtoto wa kiume wa mwisho wa Colonel Gaddafi inasemekana ameuwawa katika uwanja wa vita kati ya majeshi ya serikali ya Libya na yale ambayo bado yanamuunga mkono aliyekuwa kiongozi wa Libya hayati Col Gaddafi katika mji wa Bani Walid. Msemaji wa serikali ya Libya,Libya National...
  19. KIGENE

    TPI yakana kutengeneza ARV bandia

    KIWANDA cha Tanzania Pharmaceutical Indusrties Ltd (TPI), kimekanusha kuhusika na usambazaji, uzalishaji wa dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya Ukimwi (ARV's). Kiwanda hicho kinachomilikiwa kwa ubia baina ya Serikali asilimia 40 na wamiliki wazawa asilimia 60, kimesema kuwa...
  20. KIGENE

    Uchaguzi UWT vituko vitupu

    WAKATI uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) ya CCM ukikaribia, wagombea nafasi ya uenyekiti wamezidi kutuhumiana kwa matumizi makubwa ya fedha, huku mmoja wao akidai kujinadi kwa kutumia jina la Rais Jakaya Kikwete. Taarifa zinaeleza kuwa wagombea watatu waliopitishwa majina yao...
Back
Top Bottom