Search results

  1. moto wa maji

    Mwambie x wako nimepata mtu niliyemuhitaji

    Amani iwe nanyi Comment hapa kwamba umepata uliyemuhitaji ili utoe hayo ya chini ya moyo ,naanza Mimi X Nimepata niliyemuhitaji
  2. moto wa maji

    Aliniambia hawezi kuzalia kwao kabla ya ndoa

    Amani iwe nanyi? Nilikua kwenye mahusiano ndani ya miaka miwili , mwanamke wangu alipata ujauzito lakini akawa analazimisha sana kutoa nikamuuliza kwanini akaniambia hawezi kubeba mimba kabla ya ndoa maana itakua ni fedheha kwenye familia yao. Akapeana ushauri na rafiki yake wakafanya maamuzi...
  3. moto wa maji

    Pierre alidharaulika lakini waliomdharau ndio wanampiga mizinga siku hizi

    Pierre liquid ,konki liquid kwa asilimia kubwa ya watanzania kwa sasa wanamfahamu Pierre ni nani katika tasnia ya sanaa. Wanasema hapo mwanzo Pierre alikua mlevi kiasi kwamba hakuna aliyeweza kusikiliza ushauri wake lakini saizi wanampiga mizinga,wanamuomba ushauri tena wakati Pierre mezani...
  4. moto wa maji

    CHADEMA wamechukia Maalim Seif kujiunga ACT

    Hakuna chama ambacho hakitaki wafuasi wakutosha ili kiweze kujikwamua na kushika dola Mara nyingi wanapenda sana kwauhitaji mkubwa watu wenye hamasa kubwa ,wenye kuwa nguvu ya kushawishi watu. Chadema imedhihirisha kwa wazi kabisa kwamba wanachukia maalim seif kujiunga na Act kwani walikua...
  5. moto wa maji

    Chuki ya kijinga kutoka wizara ya mambo ya ndani kwenda kwa wizara ya ulinzi na JKT

    Habari zenu wakuu Tukikumbuka vizuri kulikua na mkataba wa ujenzi kati ya serikali na TBA kwenye ujenzi wa majengo ya magereza toka 2016 lakini hadi Leo 2019 walikua hawajakamilisha. Mh.raisi akawakabidhi jeshi la wananchi liweze kufanya kazi kwa ukamilifu na afisa aliyekabidhiwa alisema...
  6. moto wa maji

    Usikate tamaa hata kama ulivyopanga haijawa ,kukata tamaa ndio kufeli

    Haijalishi umepitia mangapi, kipindi gani ,wakati una umri gani hakuna kukata tamaa hata kama unaumwa amini utapona vizuri ukawa kama mwanzo. Maisha yana mapambano mengi sana ambayo yanapelekea kuwa na furaha,chuki, ugomvi,huzuni muda wote lakini chamsingi kukaza kwenda mbele hakuna kukata...
  7. moto wa maji

    Angalieni IGP na Mambosasa mmekalia tawi kavu tena lililooza

    Hakuna marefu yasiyo na ncha,kupanga ni kuchagua yasiyodhaniwa kuwa yatakwenda kutokea basi yamefika muda wake. IGP na kamanda wa kanda maalumu tambueni mmekalia tawi kavu na lililooza kwani muda wowote mtakua chini kwa kuanguka sio kushuka. Kaeni kiungalifu au shukeni kabisa aliyewapikia chai...
  8. moto wa maji

    Walifariki watu wengi kwenye kivuko lakini viongozi hawakuwa wengi kama msiba wa Ruge

    mwaka Jana ajali hii ilisikitisha na kuumiza wengi sana hapa nchini na nje ya nchi takribani watu 200 walipoteza maisha kwenye ajali ya kivuko. Wananchi wengi walijitokeza kuweza kuwaokoa wenzao na kuwafariji lakini chakushangaza wawakilishi wa wananchi hawakuweza kufika kwa wingi kama...
  9. moto wa maji

    Walio/watakao ingia kwenye ndoa msije mkaenda kupima DNA kuthibitisha watoto kama ni wako.

    Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea. Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara moja au usaliti uliokubuhu kiasi kwamba wanamahusiano hubaki njia panda. Mahusiano yanavyoendelea...
  10. moto wa maji

    Mwanaume ukiachana na mwanamke usirudiane tena

    Salama.... Ukiwa kwenye mahusiano hakikisha mnashikamana haswa sio juu juu tu ili badae ujute halafu muanze kurudiana. Mwanaume ukiachana na mwanamke kwa kisa chochote kile usije ukarudiana nae ukidhani mambo yatakua mazuri kumbuka mtakapo achana nae kuna maumivu huwa yanakuwepo makali kwahiyo...
  11. moto wa maji

    Bangi ilinifanya niwe najihukumu sana

    Mmea,bangi,dawa,majani ya kondeni, msuba,shada,kiona mbali,ganja,kipipi. Nilitumia kwa muda mrefu sana lakini baada ya miaka kadhaa ikaanza kunifanya niwe najihukumu sana,hata nikimtongoza mwanamke nikiwa pekeyangu tu naanza kujihukumu kwamba nimekosea kwahiyo naachana nae. Ikafika kipindi...
  12. moto wa maji

    Zikipita siku tatu au zaidi ukiwa Ujiulizi kuhusu mahusiano,utunzaji wa fedha zako uko vipi utakua na matatizo

    Ukiona unaishi bila kujiuliza mambo ya muhimu kama haya basi tambua kuwa una tatizo Mahusiano yako yanaendaje Ukiona unapitisha hadi siku tatu bila kuhoji juu ya mahusiano yako ya kimapenzi kuhusu mwelekeo wake unasubiri hadi jambo litokee ndipo uanze kuhoji tambua unatatizo. vile vile...
  13. moto wa maji

    Jamaa anakubaliwa mapema sana na wanawake lakini ndani ya siku tatu anaachwa.

    Kuna Jamaa kanipa story jinsi mahusiano yanavyomuendea ni kwamba jamaa akitongoza mwanamke akataliwi yani anakubaliwa mapema sana lakini tatizo linakuja wakianza mahusiano. Baada ya siku tatu au nne mwanamke hamtaki kabisa jamaa Mara hapokei simu,text hawezi kujibu. Akitafuta na kutongoza...
  14. moto wa maji

    Simkubali Rais ila kuungana na mabeberu kumpinga Rais ni upumbavu

    Tukizungumzia suala la demokrasia Afrika bado ni changa na liko gizani mno kiasi kwamba ni suala ambalo linaukakasi sana. Tunapenda sana kuwa huru katika nyanja tofauti tofauti sana ,baadhi ya mambo anayofanya Raisi huwa naelewa lakini mengi huwa simuelewi kabisa lakini siwezi kuungana na...
  15. moto wa maji

    Baada ya miaka 300 Africa haitokuwepo kwani itaitwa jina lingine

    Habari wanajamvi.... Sekunde zinapotea,dakika zinapotea,masaa yanapotea,siku,wiki,mwezi,mwaka tunapambana tusonge mbele kiuchumi,kisiasa,kijamii ndio maana tunapambana tujitoe kwenye utumwa wa kifikra. Muda unavyozidi kwenda Afrika inapambana ijitoe kwenye dimbwi la umasikini kwa namba yeyote...
  16. moto wa maji

    Naomba ufafanuzi kiu ya pombe ambayo huwa napata; yani kama kiu ya jangwani

    Habari wakuu...!! Nimekua napiga sana pombe mfurulizo lakini hata kama nimekunywa Jana lakini Leo nakua na kiu ambayo ni hatari utafikiri sijanywa mwaka mzima utaweza sema kama mtu amekamatwa na kiu jangwani. Hata kama nikinywa asubuhi jioni napata kiu kikali(kiu cha jangwani)utadhani...
  17. moto wa maji

    Raisi alishadhihirisha kuwa nchi ya Tanzania hakuna mwenye uhuru zaidi ya yeye

    Kwakuzingatia mambo tunayoyaona na kusikia katika nchi yetu ya Tanzania Kiongozi mkuu wa nchi yetu ameshadhihirisha kabisa kuwa hatuna Uhuru zaidi ya yeye mwenyewe kwamba sisi bado ni watumwa kwakuzingatia hivi: 1.Kwakufuta siku ambayo waasisi waliumiza vichwa kwaajili ya kupata uongozi wetu na...
  18. moto wa maji

    Mbwa anaweza kuutafuna mfupa ulioachwa na fisi lakini ni ngumu kumpata kiongozi bora kwa uchaguzi.

    Habari wakuu. Nimekua nikijiuliza hili suala Mara kadhaa lakini bado nikawa kwenye mizani. Katika misingi ya uongozi inaaminika kwamba kiongozi bora ni yule anayekua anatengeneza baadhi ya wafuasi wake waje kuwa viongozi wa baadae na sio kujaza wafuasi wengi bila ya kuwa na misingi ya...
  19. moto wa maji

    Maisha hayawezi kukusamehe kwa sababu ya mapungufu yako

    Habari wakuu. Katika maisha kunakua na misukosuko mingi sana tunapita katika njia mbovu mno ambazo huleta vidonda na makovu yasiyosahaulika na mengine usahaulika. Kadri siku zinavyozidi kwenda watu hufanya maamuzi tofauti tofauti lakini endapo utafanya maamuzi na ikaonekana ni sababu ya...
  20. moto wa maji

    Ombi kwako Rais kuhusu vijana wa JKT

    Vijana wa Jkt walioingia mwaka 2016 ambao ni operesheni yako mpaka sasa wako vikosini mwao waangalie kwa macho mazuri vijana wako kwani wamekutumikia na kukujengea ulivyokua unahitaji. Uliwaahidi kuwa utawaajiri vizuri lakini inaonekana unataka kuwarudisha makwao bila ajira. Waangalie vizuri...
Back
Top Bottom