Tatizo ni kiatu ni shida ile asee... Nimewahi iona mara moja tu, nimejaribu kuitafuta bila mafanikio.....
Mle ndani kuna Mrisho Mpoto, Masele cha pombe....... Daah hatari sana
Ni kwa sababu kama fundi alikupa tathmini ya bati 120 hii hesabu inakuwa ni kwa bati za migongo 12. Lakini kuichukua za migongo 11 katika kila bati 12 utakuwa na upungufu wa bati 1.....hivyo kwenye bati 120 utakula loss ya bati 11.....
Kwa nini inakuwa hivi..... Inakuwa hivi kwa sababu kwenye...
Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu.
Natanguliza shukrani zangu za...
Unadaiwa shilingi 4,654,575.95
Ambapo, jumla ya mkopo wako ni 10,404,800.00
Pesa ambazo umelipa mpaka sasa 6,265,610.00 inabaki 4,139,190.00 jumlisha na jumla ya gharama za ziada (charges) 970,385.95 inakuwa sawa na 5,109,575.95 halafu toa kiwango kilicholipwa sasa sh. 455,000.00 unabakiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.