chief-mkwawa

Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (1855 – 19 July 1898), more commonly known as Chief Mkwawa, was a Hehe tribal leader in German East Africa (now mostly the mainland part of Tanzania) who opposed the German colonization. The name "Mkwawa" is derived from Mukwava, itself a shortened form of Mukwavinyika, meaning "conqueror of many lands".

View More On Wikipedia.org
  1. sir j

    Msaada wa Windows Installation

    Kwema wana jamvi....?? Poleni na mihangaiko ya kutwa. Kama mada hapo juu inavyojieleza, niko na install Windows 10 kwa PC yangu lakini inaniletea ujumbe kama inavyoonekana kwenye Screen short niliyoambatanisha.... Nahitaji msaada tafadhali kwa wenye utaalamu. Natanguliza shukrani zangu za...
  2. Umuzukuru

    Ushauri wa haraka kuhusu simu

    Habari za siku ndugu zangu wa JF natumai mko salama na wazima wa afya kabisa Naombeni ushauri wa juu ya aina ya simu ambayo inaweza kufaa kusogezea siku hasa kwa wadau wa mambo haya ya teknolojia Aina ya simu ni Xiaomi Redmi 9c vs Infinix Hot 10i Nb ni ushauri wa haraka ndio maana nimeuweka...
  3. Kisange

    Naomba wenye uzoefu na hizi simu za Samsung Galaxy A9(2016), C7 na C8

    Kheri ya mwaka wataalam. Ninapata mkanganyiko kidogo kwenye kujua ipi itanifaa zaidi kati ya simu tajwa hapo juu. Upande wa performance, ukaaji wa chaji na mambo mengine ya msingi kwa mtumiaji wa kawaida. Nataka kununua moja kati ya hizi nimejaribu kupitia mitandaoni kuangalia ipi ni the best...
  4. mwilawi

    Blackview tablets

    BLACKVIEW TABLETS Wakuu naomba kwa anaefahamu hizi tablets za blackview hasa blacview tab 9. hapa namaanisha ubora wake, durability yaan uimara, touch yake kama inadumu na mambo mengine.
  5. Orketeemi

    Ubaora na bei ya Samsung galaxy Note 20

    Wakuu salama? Naomba kujuzwa sifa na bei ya Simu tajwa. SAMSUNG GALAXY NOTE 20. Nitashukuru sana.
  6. A

    USHAURI: Short Course nzuri za computer ni zipi?

    Wanabodi habari zenu, Ningependa kujua short course zipi nzuri kuhusu computer kwa ajili ya kuongeza maarifa ya kupambana na mtaa?
  7. Zikwe

    Msaada, laptop yangu inaonyesha 255% available (plugged in)

    Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha 255% AVAILABLE (PLUGGED IN) Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha Hizo asilimia 255%, Nimejaribu Kuupdate driver Lakini imeshindikana Na Pia Nina Betri mbili moja Ni...
  8. Miss Ritah

    Msaada jinsi ya ku unlock Tecno SA 1 yangu tafadhali

    Nahitaji msaada wa hivyo ndugu zangu najua humu hakishindikanagi kitu. Tecno SA1 unlocking imechezewa na mtu asubuhi imejiblock inadai patern
Back
Top Bottom