Search results

  1. S

    Rasta za barabara ya Bagamoyo zinakera

    Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari. Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
  2. S

    Tatizo la maji Bagamoyo

    Baada ya siku tano mpaka leo tar. 24 Oktoba maji hayatoki hususani eneo la Kerege CCM. Sijui maeneo mengine. Meneja bagamoyo ufafanuzi tafadhali. Nimeuliza wanasema ni tatizo la umeme kwenye mitambo. Hivi gesi ya mtawra inafanya nini? Inaudhi unatoka kulitumikia taifa unarudi nyumbani unakuta...
  3. S

    Je umewahi kufika kerege- bagamoyo.? Ukistaajabu ya musa utayaona ya sospeter muongo

    NIKIWA KATIKA MATEMBEZI YANGU KUYAFAHAMU MAENEO HUKO KEREGE BAGAMOYO NILIFIKA ENEO MOJA LINAITWA NYAKAHAMBA. UNAWEZA PITIA KEREGE CCM DISPENSARY KWA PIKIPIKI NI TSHS. 2000 TU. NILISHANGAA KUONA WATANZANIA WAMEJITOA KATIKA UWEKEZAJI WA KILIMO CHA MITIKI AMBAYO IPO KWA MAHEKTA. LAKINI...
  4. S

    Msaada mashine nzuri ya kusafishia picha, express passport size.

    Wadau, tafadhali nisaidieni, ni mashine gani nzuri ya kusafishia picha naweza inunua kwa kazi hiyo. Ikiwezekana na bei ni kiasi gani?
  5. S

    nahitaji msichana kwa ajili ya kazi stationery

    Umri----18-28 jinsia----ke elimu-- secretarial course at least awe ana speed ya kuchapa kazi sifa nyinginezo--- awe na heshima, muaminifu na mchapakazi. Awe anaishi maeneo ya tegeta/ bunju----- unaweza nitafuta humuhumu jamvini.
  6. S

    nahitaji msichana kwa ajili ya kazi stationery

    Naomba yeyote mwenye kuhitaji nafasi hiyo FIND ME ON . 0714128855...... ni maeneo ya Bunju A. Ninategemea kufungua mwezi ujao. awe ana speed ya kuchapa kazi awe mwaminifu na awe anakaa maeneo ya Tegeta, au Bunju.
  7. S

    CWT na mitandao ya kijamii kama JamiiForums/facebook

    Cwt ingejaribu kujitanua kwa wadau wake kwa kujiunga na mitandao ya kijamii. Faida ni kuwawezesha walimu vijana ambao wengi wao wamejiunga na mitandao hii kuweza kupata in depth details za shughuli za chama hicho. Lakini pia itakiwezesha chama kupata maoni na response ya walimu katika madai...
  8. S

    Msaada wadau. Maana ya reference

    references: Should be uploaded, if you do not have them available now, you should take the following action: - as part of this application form you can request that the University to contactyour referees by email, or - you, or your referee, can submit a reference by forwarding to the...
  9. S

    Hivi askari Polisi wa Tanzania hulipwa mshahara kiasi gani?

    Ikiwezekana tuthaminishe na mauaji, dhuluma na unyanyasaji kwa raia wenzao, ndugu zao, au hata jamaa zao. Wenye data tafadhali. Nawasilisha
Back
Top Bottom