Rasta za barabara ya Bagamoyo zinakera

samoramsouth

Senior Member
Jan 16, 2011
191
30
Rasta barabara ya Bagamoyo eneo la kuanzia Baobab, Kibosha, Mapinga shule hadi Kerege CCM ni kero kwa magari.

Ziwekwe alama nyingine za tahadhari kwa sasa.
 
Ni kweli zinakera wenye magari ila zinaokoa maisha ya wasio na magari.

Madereva wengi Tanzania hawana akili sawasawa, sehemu za makazi ya watu, shule na mkusanyiko wa watu mtu bado anatembea 100+. Maeneo yote uliyoyataja yana makazi ya watu.

Ni lazima wakati mwingine kulimda watumiaji wengine wa barabara kwa kutumia njia ngumu kama hizo rasta.
 
Back
Top Bottom