nahitaji msichana kwa ajili ya kazi stationery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji msichana kwa ajili ya kazi stationery

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by samoramsouth, Mar 20, 2012.

 1. s

  samoramsouth Senior Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naomba yeyote mwenye kuhitaji nafasi hiyo FIND ME ON .
  0714128855...... ni maeneo ya Bunju A. Ninategemea kufungua mwezi ujao. awe ana speed ya kuchapa kazi awe mwaminifu na awe anakaa maeneo ya Tegeta, au Bunju.
   
 2. MSEZA MKULU

  MSEZA MKULU JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 3,733
  Likes Received: 4,587
  Trophy Points: 280
  umempata mkuu tena maeneo ya huko huko bunju. nimewasiliana na mzazi wake atakupigia simu muta wowote kuanzia sasa.
   
 3. s

  samoramsouth Senior Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
   
 4. s

  samoramsouth Senior Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kanipigia sasa hv, nafikiri mambo yataenda sawa.
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mshahara kiasi gani?
   
 6. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,355
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  kwanini mschana tu?
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Wavulana hawaaminiki sana kumwachia ofisi wewe uendelee na shughuli nyingine...labda kama upo hapo ofisini muda wote.si ajabu akahamisha hadi meza..
   
 8. s

  samoramsouth Senior Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kwa aliyenitress kwa mawasiliano. Ofisi nitafungua mwezi ujao, so subira yahitajika kwani nitawasiliana nawe one wk before kufungua ofisi ili nijue tunaaanza vip, ukiwa umequalify we can do business.

  Nawasalimu
   
 9. s

  samoramsouth Senior Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaka, nimefungua jana stationary, najaribu mpigia yule dada hapatikani kwenye namba yake. jaribu kumwambia anitafute leo kabla ya saa kumi na moja au kesho asubuhi. kwa sasa nipo hapa bunjuA USALAMA.
   
Loading...