Search results

  1. B

    Cartridge refill kit

    Jamani wana jamii nawaomba mnielekeze duka linalouza cartridge refill kit kwa ajili ya printer nikiwa na maana ya wino wa printer,naomba nijulishwe duka liko mtaa gani na jina la duka.asante.
  2. B

    Umeme wa nuclear

    Ndugu zangu wana jamii forums naomba kwa anaejua kuhusu umeme unatokana na vinu vya nyukilia,maana nasikia kuwa huko ulaya hakuna tatizo la umeme yaani upo wa kumwaga,sasa nawaomba mnaejua sababu ni kwa nini tanesco hawatumii nyukilia ili kufilisi huu mgao wa umeme?
  3. B

    wahanga vita ya uganda

    wanajukwaa naomba tujadili juu ya athari ya vita ya uganda maana waliokuwa vijana wakati vita vinapiganwa kati ya nchi yetu na idi amini wa uganda waliozaliwa mwaka 1955 hadi 1975 kwa kweli mtaji wao wa nguvukazi ulitumika kwa maslahi ya watawala,na ni ukweli ulio wazi kuwa ujanawao wameumalizia...
  4. B

    malipo ya fidia

    ndugu zangu wanajukwaa hili naomba kwa anaejua namna malipo ya fidia yanavyofanywa kwa mtu ambaye barabara ndilo limemfuata,naomba nipewe utaratibu mzima na bei na vipimio vitumiwavyo na bei zake,nazumgumzia nyumba iliyochorwa (x) inayostahili fidia.asante.
  5. B

    Naomba mawasiliano ya mkuu wa ifunda ufundi

    JAMANI MWENYE NAMBA YA SIMU YA MKUU WA SEKONDARI YA UFUNDI YA IFUNDA NAMWOMBA ANIPE KWA KUNIBIP KWENYE NAMBA YANGU 0753600592 AU 0655600592 AU EMAIL 3manywa5@vodamail.co.tz AU manywa5@yahoo.com .ASANTENI WAUNGWANA.
  6. B

    NASA Unveils New Plane Designs

    Babu wa loliondo kwa juhudi zake kagundua dawa yake watu wanapona,jambo la kushangaza watu wasomi wanamtaka atoe siri ya dawa na wanahangaika ovyo ili wajue siri yake ili wamnyang'anye haki miliki yake ya kugundua dawa,wao walichotakiwa kumfanyia ni kile tu ambacho yeye atahitaji na hicho ndicho...
  7. B

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Toa upuuzi wako jukwaani,huwezi kumponda mganga hata wa kienyeji kwa sababu ana watu wake wanapona,au je wewe mwenye roho mtakafujo wa kusoma biblia ovyo ovyo na maombi yako ya kila siku kwa mungu wako je kakupa uwezo alionao babu wa loliondo?sasa subiri nikufundishe kusoma na kuelewa biblia...
  8. B

    Naomba laws of tanzania

    Jamani wanajukwaa naomba kama yupo mwenye data cd ya kitabu cha laws of tanzania anipe au mwenye link ya bure (free download) ya laws of tanzania anitumie hiyo link au bookmark kwenye email box yangu.
  9. B

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    ndodi ni mzushi,mwaka juzi alianzisha mjadala kwenye redio free akiwataka wakristo wanaokula nyama ya nguruwe iwapo kama yupo mwenye aya ya biblia inayoruhusu mkristo kula nguruwe asomewe aya hiyo nayeye ndodi atamzawadia gari mwenye kutoa hiyo aya,basi mimi nikamwandikia meseji nikimtaka na...
  10. B

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    ndodi ni mzushi,mwaka juzi alianzisha mjadala kwenye redio free akiwataka wakristo wanaokula nyama ya nguruwe iwapo kama yupo mwenye aya ya biblia inayoruhusu mkristo kula nguruwe asomewe aya hiyo nayeye ndodi atamzawadia gari mwenye kutoa hiyo aya,basi mimi nikamwandikia meseji nikimtaka na...
  11. B

    vipimo vya barabara

    jamani wana jamvi naomba msaada wenu,huku kilosa kuna ujenzi wa barabara kiwango cha lami,na imekuja barua inayowaamrisha wananchi ambao walijenga kando ya barabara ya zamani inayotoka dumila kwenda wilayani kilosa kuwa wabomoe wenyewe nyumba zao zilizo mita 22.5 toka katikati ya bara.sasa...
  12. B

    Oneni utata jamani?

    hapa nakubaliana na wewe
  13. B

    Dr. NDODI: Kuvaa suruali kuna madhara kwa wanawake

    kuhusu mwanamke kuvaa suruali inakuwa ni kosa tu iwapo jamii anayoishi haina utamaduni huo,na ni kukosa adabu iwapo jamii yako haikubali hilo.na kuhusu madhara ni kuwa wewe unaevaa suruali kinyume cha utamaduni biblia inaeleza kwenye torati kuwa " na haimpasi mwanaume kuvaa vazi la mwanamke na...
  14. B

    Maumivu makali ya kiuno

    Jamani nashukuru kwa ushauri wenu juu ya ugonjwa wa maumivu makali ya kiuno,mungu awabariki ninyi kokwemage,mzizimkavu,puza,tama na babu ataka kusema na wanajamvi wote kwa kunijali. Ni mimi bwanafundi.
  15. B

    NASA Unveils New Plane Designs

    wataalamu wa tanzania hawapo wenye uwezo huu na kama wangekuwepo ndio wangetufanyia mambo makubwa ya kimaendeleo.serikali zote zenye wagunduzi zilikuja ondokea kuwajali wataamu wao baada ya kuona kazi zao,na hapo ndipo hupanga mafungu ya fedha kusaidia wataalamu hao.tena wakati fulani wataalamu...
  16. B

    Maumivu makali ya kiuno

    nimepimwa mkojo na baada ya matokeo ya kipimo daktari kanipa vidonge septrin na panadol na baada ya kunywa dawa hizo ikawa ndio nimezidisha maumivu ya kiuno,naomba nielekezwe dawa ya uhakika au mganga wa uhakika ili nisihangaike ovyo kwenye mahospitali na kutupa pesa nyingi bila ya...
  17. B

    Maumivu makali ya kiuno

    Jamani naugua kiuno,kiuno changu kinauma sana,haja kubwa ni kavu mno,kuna wakati hata miguu na makalio yanashika ganzi.na siku ninayofanikiwa kupata haja kubwa korodani zangu huwa zinauma baada ya kwenda haja kubwa.maelezo yangu ndiyo hayo.naomba nielekezwe dawa na daktari anaejua kutibia gonjwa...
Back
Top Bottom