Maumivu makali ya kiuno

bwanafundi

Member
Jan 13, 2011
17
1
Jamani naugua kiuno,kiuno changu kinauma sana,haja kubwa ni kavu mno,kuna wakati hata miguu na makalio yanashika ganzi.na siku ninayofanikiwa kupata haja kubwa korodani zangu huwa zinauma baada ya kwenda haja kubwa.maelezo yangu ndiyo hayo.naomba nielekezwe dawa na daktari anaejua kutibia gonjwa la kiuno.
 
nimepimwa mkojo na baada ya matokeo ya kipimo daktari kanipa vidonge septrin na panadol na baada ya kunywa dawa hizo ikawa ndio nimezidisha maumivu ya kiuno,naomba nielekezwe dawa ya uhakika au mganga wa uhakika ili nisihangaike ovyo kwenye mahospitali na kutupa pesa nyingi bila ya kupona.nisaidieni.
 
Kabla ya kukupa Ushauri wa kutumia Dawa itabidi uende Hospitali kubwa kwa hapo ulipo unapoishi ukapige Picha ya XRAY ili tupate kujuwa una Matatizo gani ndipo hapo tuweze kutowa Dawa kamili. Kama upo Dares-Salaam nakushauri uende hospitali ya Rufaa ya Muhimbili kawaone

Ma Dokta Mabingwa wa Maradhi ya ndani ya mwili wakuangalie kwa hiyo EXRAY na wakikupa dawa utumie kwa huo muda kisha uje hapa tena utuambie maendeleo yako yanakwendaje ndio tunaweza kukupa ushauri wa kuweza kutumia Dawa.
 
Pole sana Mkuu. Hapa inabidi tu uwahi hospitalini ili ukaangaliwe zaidi.
 
kuna jamaa pale kinondoni wanasaidia sana matatizo kama hayo kwa njia za miti shamba piga simu namba 0713236164, jamaa anaitwa Dr. EMANUEL nenda kajaribu
 
Pia piga papai na parachichi kwa wingi itasaidia kulainisha choo ila uhakika zaid ni kuwah hospital kubwa mkuu.za vichochoroni wengi wao longolongo
 
Jamani nashukuru kwa ushauri wenu juu ya ugonjwa wa maumivu makali ya kiuno,mungu awabariki ninyi kokwemage,mzizimkavu,puza,tama na babu ataka kusema na wanajamvi wote kwa kunijali. Ni mimi bwanafundi.
 
Pole sana ndugu yangu. Ni muda gani una matatizo hayo? Kwa kupunguza maumivu, Ibuprofene itasaidia. Na kwa vyakula, matunda ya "Custard apple au matopetope/matomoko yanasaidia), lakini ni vyema kumuona daktari HARAKA SANA. Kwa dalili unazoeleza nina wasiwasi na matatizo ya prostate. Haraka nenda Ocean Road au kokote uonane na Urologist
 
Pole sana ndugu yangu, jaribu kumuona dr ndodi atakusaidia, nakumbuka vipindi vyake vya nyuma aliwahi kuzungumzia matatizo ya aina hiyo.
God bless u.
 
nimepimwa mkojo na baada ya matokeo ya kipimo daktari kanipa vidonge septrin na panadol na baada ya kunywa dawa hizo ikawa ndio nimezidisha maumivu ya kiuno,naomba nielekezwe dawa ya uhakika au mganga wa uhakika ili nisihangaike ovyo kwenye mahospitali na kutupa pesa nyingi bila ya kupona.nisaidieni.
Ni muhim sana u consult dr. lakin pia ni muhim ubadilishe diety yako kwa kutumia sana rougheges na maji kwa wingi ili ulainishe haja kubwa, kwan persistence ya choo ngumu inaweza sababisha HAEMORRHOIDS
 
Sikiliza kijana hapa unapata ushauri 2 na jua sisi wengne si madartari,sasa mimi naomba nikuulize shwali je ushawai kuwa unapiga punyeto?maana punyeto huwa inasababisha kiuno kuuma kama umepiga kwa miaka mingi pamoja na kuumwa pumbu wakati wa haja kubwa yote nayo punyeto inachangia na kuna wakati mwingne huwa m2 anaweza atoka shahawa wakati wa haja kubwa wakati uume haujasimama na hapo ndipo pumbu zinapoanza kuuma.
 
Back
Top Bottom