vipimo vya barabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipimo vya barabara

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bwanafundi, Feb 26, 2011.

 1. b

  bwanafundi Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jamani wana jamvi naomba msaada wenu,huku kilosa kuna ujenzi wa barabara kiwango cha lami,na imekuja barua inayowaamrisha wananchi ambao walijenga kando ya barabara ya zamani inayotoka dumila kwenda wilayani kilosa kuwa wabomoe wenyewe nyumba zao zilizo mita 22.5 toka katikati ya bara.sasa swali ninaloomba mnisaidie,je ni kweli barabara za vumbi zinazounganisha wilaya zina upana wa mita 45?na hasa hii ya dumila inayoanzia barabara kuu ya morogoro to dodoma.
   
Loading...