bwanafundi
Member
- Jan 13, 2011
- 17
- 1
Jamani wanajukwaa naomba kama yupo mwenye data cd ya kitabu cha laws of tanzania anipe au mwenye link ya bure (free download) ya laws of tanzania anitumie hiyo link au bookmark kwenye email box yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii website ndio inasumbua sana kwa hiyo ndio maana nimesema kama kunamtu anaweza kuzipata kwa urahisi azidownload aweke naona pengine kuwarahisishia zaidi chukua Tanzanialaws.blogspot wanaweza pata kwa urahisi maana ukiclick direct kwenye hiyo link inangoma kufunguka au hata ukiitumia direct inagoma inabidi kwanza upate kibali au ujisajiri na uwe na account likini ukitype hiii moja kwenye google link unapata unachohiataji
<br />Ninayo software ya 2002 R.E. kama upo DSM nitafute. siwezi kuiweka kwenye JF as link maana sheria za hakimiliki zitawabana...