Search results

  1. Green Bird

    Fataawa Za Wanachuoni Mbalimbali Kuhusu Ramadhwaan

    Fatwa Kutoka: ‘Allaamah Swaalih Ibn Fawzaan Al-Fawzaan Swali: Tunataka uwape vijana Nasaha kuhusiana na kuchunga wakati wao katika Ramadhaan? Jibu: Waislamu wote sawa Vijana na wengine wote wanatakiwa kutumia wakati wao katika kumtii Allaaah – wala Ramadhaan isiwajie kwa ghafla, au ikawakuta...
  2. Green Bird

    Uzi maalumu kwaajili ya Mindanda/Mchiriku

    kama wewe ni mfuatiliaji wa minanda au mchiriku utakuwa unawajua magwiji kama Mpogo, Jangwa, 7 Surviver na wengine kibao naomba tupeane ladha kupitia uzi huu kwa kuweka minanda nami nitajitahidi kila siku kuweka zaidi kadri nitakavyofanikiwa kuinasa Jagwa, Ngoma inakwenda kwa jina la Asha...
  3. Green Bird

    Nimetengeneza App kwaajili ya Mapishi naomba maoni yenu

    Mapishi is the application that intends to facilitate Swahili speaking people to have these recipes at their convenience https://goo.gl/novKRA
  4. Green Bird

    Jinsi ya kupika halwa (halua)

    Vipimo Tambi za Mchele - Pakti 1 (400 mg) Tui la nazi - Kikombe 1 Sukari - Nusu kikombe, ukipenda ongeza kidogo Maziwa ya kopo (evaporated) - Nusu kikombe Samli - Kijiko 1 cha supu Zabibu kavu - ¼ Kikombe Liki - ¼ kijiko cha chai 'Arki (rose flavour) - Matone matatu au zaidi Namna Ya Kutayarisha...
  5. Green Bird

    Hizi ndio nyimbo zilikopiwa kutoka kwa wasanii wengine

    Utamu ni ngoma ya Dully Imetoka 2012 lakini bwana mmoja huko india ameitolea remix yake 2015 mwenyewe amejieleza kwenye maelezo ya video yake huko youtube video yenyewe hii hapa chini Lakini kuna ngoma nyingine ya hawa wasichana wakuitwa Mask Girls inaitwa sina hali icheki hapa na hawa pia...
  6. Green Bird

    Habarika na burudika na POA APP ya kitanzania

    Habari za kufurahisha na kusisimua katika ulimwengu wa teknolojia ni kuwa sasa hakuna haja tena ya kutumia WhatsApp wala Telegram kwani sasa tuna App yetu tuliyoipa jina la POA APP. Hii ni zaidi ya WhatsApp, ijaribu sasa kwani hii ni bora zaidi itakuwezesha kumtumia rafiki yako Video, audio...
  7. Green Bird

    Mambo 6 muhimu yanayowachukiza wanawake kitandani

    1. KUPUUZA SAIKOLOJIA YA MWANAMKE Kitu muhimu sana anachotakiwa kukifahamu mwanaume katika uhusiano ni suala la saikolojia ya mwanamke na kujua kuchagua muda muafaka wa tendo. Mwanamke hufurahi na kuhisi amani pindi anapohisi au kuona kuwa mume anamjali na anajali hali yake ya kisaikolojia...
  8. Green Bird

    ZANZIBAR: Vyama 9 havitashiriki Uchaguzi wa Marudio wa Machi 20

    Vyama tisa vya siasa kati ya 14 vilivyosiriki uchaguzi Mkuu mwaka jana vimeungana na CUF kutoshiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika machi 20, hadi utakapo patikana muafaka wa kumaliza mgogoro wa kisiasa. Mratibu wa umoja wa vyama hivyo, Kasim Bakari Ali Alisema jana kuwa Vyama hivyo...
  9. Green Bird

    Blog inauzwa imefanyiwa domain

    habari wa JF leo nimekuja na biashara nauza blog yangu adress yake ni hii www.swahili-news.com imetembelewa na watu zaidi ya 25000 bei ni poa Tsh 45000 imeshatengenezwa muonekano bomba wasiliana nami whatsapp +255759202132
Back
Top Bottom