Jamani tunapoelekea sahivi sio kuzuri leo nimekutana na mdada mwembamba mno lakini yale makalio yake sio ya nchi hii na the way back huyu dada alikuwa ni flat sana sasa nkajiuliza mzigo huo kaupata waoi nkasema hata kama ni mtandao pendwa unaliwa lakini sio kwa kalio kuvimba vile kama la...
Sizonje umekuwa ukiomba kila siku wanadanganyika wakuombee kwa mungu kwa sababu wewe ni chaguzi la mungu wakati wewe ulichaguliwa na wanalumumba na bao la mkono.
Maombi ya wazee,wamama,wababa,vijana,watoto na wafu pia wanayokuombea ndio yanafanya ufanye hayo unayoyafanya?
Kama ndivyo hamna...
Wakati wa ufunguzi wa viwanda 314 huko Pwani karika wilaya zote kasolo KIBITI na RUFIJI raisi alitoa tamko kuwa wakurugenzi wafate madawa ya mbu ambayo mtu anaweza kunywa na asife.
Hawa wakugenzi naona wamepuuzia tamko hilo kwani kwenye halmashauri yangu sijaona wakimwaga kwenye madimbwi mbu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.