TV E ina nini na hawa wasanii??

hooligan01

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
662
523
Ni wiki sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya wcb ata kwa bahati mbaya alafu wanapga na nyimbo za Nigeria.....watz 2badilike hii station cjui ya nani ila haya mabeef na chuki zisifike mbali kiasi hichi......
 
Kama haileti hela basi haimake sense, nafikiri hao wasanii wamevimba sana wamejiona wamemaliza basi sio Shida waendelee na washauri wao wanaowajua, nadhani kuna Uzi kuhusu hawa wasanii Wa WCB kuwa nyimbo zao hazipigwi Eatv, watakuwa na matatizo yao kama vipi download nyimbo zao tu hakuna namna maana walisema hawategemei media kusukuma nyimbo zao.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Ni mwezi sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya wcb ata kwa bahati mbaya alafu wanapga na nyimbo za Nigeria.....watz 2badilike hii station cjui ya nani ila haya mabeef na chuki zisifike mbali kiasi hichi......
Nadhani kuna tatizo mahali..haiwezekani

Kuhusu mmiliki kama sijakosea ndio walewale wa Radio Efm mkuu
 
[QUOTEanna, post: 22151413, member: 388038"]Kama haileti hela basi haimake sense, nafikiri hao wasanii wamevimba sana wamejiona wamemaliza basi sio Shida waendelee na washauri wao wanaowajua, nadhani kuna Uzi kuhusu hawa wasanii Wa WCB kuwa nyimbo zao hazipigwi Eatv, watakuwa na matatizo yao kama vipi download nyimbo zao tu hakuna namna maana walisema hawategemei media kusukuma nyimbo zao.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app[/QUOTE]
daaah kibaya zaidi wanapga na nyimbo za Nigeria uko
 
[QUOTE="Iceman 3D, post: 22151795, member: 385104]kwa hiyo msha anza ku wapangia wenye vituo nyimbo za kupiga?
WCB na E tv/E fm wako fresh tuu. mimi nimewahi ona wakipiga nyimbo za WCB mara kibao tu[/QUOTE]
Mkuu fanya uchukue siku nzma ata kesho ukiweza...ukiiona nyimbo yyote ya wcb fanya kuniprove me wrong
 
[QUOTE="Iceman 3D, post: 22151795, member: 385104]kwa hiyo msha anza ku wapangia wenye vituo nyimbo za kupiga?
WCB na E tv/E fm wako fresh tuu. mimi nimewahi ona wakipiga nyimbo za WCB mara kibao tu
Mkuu fanya uchukue siku nzma ata kesho ukiweza...ukiiona nyimbo yyote ya wcb fanya kuniprove me wrong[/QUOTE]
poa kaka ntacheki labda recently ndio wameanza ila hakuna shda kati yao mbona
 
na juzi mondi alikuwepo kwenye uhondo
Mkuu nahitaji tu mshahidi wa yeyote anayeifuatilia hii channel aje kujiunga mkono....mana wana iyo top 30 hamna ata nyimbo moja ya wcb ila nyimbo ya msaga sumu mashine na if ya davido zipo hahaha ## tz no uzalendo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom