Toyota Brevis Maroon...

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,244
36,297
Habari za jumapili,

Jana nikiwa kwenye mishe mishe zangu barabarani ilinipita gari aina ya Toyota brevis kwa spidi kali sana. Kufika kwenye mataa nikamkuta amekaa upande wa kulia mie nikapita upande wa kushoto nikamuona dereva wa hiyo brevis. Alikuwa peke yale kwenye gari, mweusi si mwembamba na si mnene na wala hana kitambi. Alivaa shati lenye weusi weusi hivi na vioo vya mbele vilikuwa wazi. Nilimkagua hadi tuliporuhusiwa yeye akachomoka tena ila kufika mataa ya mbele tena nikamkuta.

Wakati huu alikuwa mkono wa kulia kashikilia usukano na mkono wa kushoto alikuwa kashika simu kana kwamba anachat.
Haa safari hii si kufanya ajizi, nikachukua kikaratasi nikaandika barua peke yangu na kufungua kioo changu nikamrushia kwenye siti ya abiria. Tukaruhusiwa basi nikakanyaga pedeli mbiooo asinikute. ...heheheheee basi tuu aibu za kike zilinijia.

Thanks Jo, asubuhi hii nimepata email yako. Nice to meet you.

Maswali yote utayouliza atakuja kuyajibu Jo mwenyewe.

Kasie.
 
Let me be the first one to comment.
1499007341891.jpg

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Habari za jumapili,

Jana nikiwa kwenye mishe mishe zangu barabarani ilinipita gari aina ya Toyota brevis kwa spidi kali sana. Kufika kwenye mataa nikamkuta amekaa upande wa kulia mie nikapita upande wa kushoto nikamuona dereva wa hiyo brevis. Alikuwa peke yale kwenye gari, mweusi si mwembamba na si mnene na wala hana kitambi. Alivaa shati lenye weusi weusi hivi na vioo vya mbele vilikuwa wazi. Nilimkagua hadi tuliporuhusiwa yeye akachomoka tena ila kufika mataa ya mbele tena nikamkuta.

Wakati huu alikuwa mkono wa kulia kashikilia usukano na mkono wa kushoto alikuwa kashika simu kana kwamba anachat.
Haa safari hii si kufanya ajizi, nikachukua kikaratasi nikaandika barua peke yangu na kufungua kioo changu nikamrushia kwenye siti ya abiria. Tukaruhusiwa basi nikakanyaga pedeli mbiooo asinikute. ...heheheheee basi tuu aibu za kike zilinijia.

Thanks Jo, asubuhi hii nimepata email yako. Nice to meet you.

Maswali yote utayouliza atakuja kuyajibu Jo mwenyewe.

Kasie.
tunamsubiri
 
Duuh, Dereva agonga miti aaacha, hiyo si sawa dereva una mkeooooo (Kwa sauti ya Weusiii)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom