Labda kama umeoka(umechaguliwa) fresh from schoolHupati
samtz1
Nakuunga mkono kabisa kwenda advance ni kupoteza muda na rasilmali kwenye taaluma nenda college kisha university kwa maana ya certificate kisha diploma then chuo kikuuForm six haina faida yoyote,, maana yake nikupoteza muda
Sio Kweli,Ukisapoti Diploma ukaiponda Degree itakuwa maneno ya mkosaji au mtu asiyejiamini na Matokeo ya Form 6.Huwa namshauri mtu apitie Diploma kama ana focus ya ndoto ya kuwa mtu fulani teari lakini kama bado hajui nani anataka aje kuwa Diploma haimfai
Mfano Kama unajijua kabisa wewe focus yako ni kuja kuwa Health Lab techinician una nafasi nzuri zaidi ya kutengeneza Carrier yako kama ukipitia Diploma
kwa kuwa utakuwa umeanzia kuijua fani kutokea level ya chini kabisa na utajenga exposure mapema kabisa nakujua a to z ya fani mapema....Kwa course zenye field unaanza kujenga connection mapema unapoenda field na kwa zenye rotation inakujengea experience ya kukumbana na real life situations za fani yako
Pia walimu wanaokufundisha ni ambao wanaijua fani vizuri
Pia diploma ni practical zaidi na ipo specific kwa vile vinavyokuhusu chukulia mfano mtu anataka kuja kusoma Telecom Engineering...kuna topic ngapi A level ambazo hazina uhusiano wowote na Telecom
Je kama yeye kipaji chake ni Telecom ana akafanya vizuri sana topics kama za Umeme na Electronics lakini ambazo zinahusu mechanics mfano zikamuangusha akafeli physics NECTA?anakuwa amepotea teari na ndoto yake imekufa
Ukitoka Diploma unaondoka na cheti mkononi ambacho kinakutambulisha popote pale kwamba una ujuzi fulani,elimu yako inaanza kukutengenezea kipato tofauti na A level
Unaanza kujua changamoto za elimu ya juu mapema
Pia hakuna gap kubwa sana kati ya Diploma na Degree hasa kwenye Engineering na Health Courses kwenye upande wa mishahara na hata majukumu mnayopewa kitu kimoja nilichogundua Degree sio watendaji wazuri ukifananisha na Diploma labda kwa kuwa Degree anasoma vitu vingi kwa wakati mmoja kumaster kimoja kimoja kwa umakini inakuwa ngumu
Nondo ndo nini wewe? Acha kudanganya watu? Nondo bila hela?Mtu wa Diploma yupo nondo balaa anajua vitu vingi
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Miaka yote hiyo ya Certificate Dipolma inakusubiri wewe? Labda kama uwe Mwanamke.Nakuunga mkono kabisa kwenda advance ni kupoteza muda na rasilmali kwenye taaluma nenda college kisha university kwa maana ya certificate kisha diploma then chuo kikuu
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
sa kwann utujazie server mkuu.....c lazma ukoment hana kama huna hoja....2lia uwe observer ka wengne.Hata cjui
Imeeleweka hyoSio Kweli,Ukisapoti Diploma ukaiponda Degree itakuwa maneno ya mkosaji au mtu asiyejiamini na Matokeo ya Form 6.
Umetoa mifano kadhaa, Ila ujue mtu akipitia Form 6 na kupata matokeo mazuri, Huyu wa Diploma anakuwa "Cha mtoto"
Eti unajifariji kuwa Degree hawajui sana Practical sasa wewe unataka ujue Practiacal na Mshahara mbuzi wako? unajisifu ujinga!
Kwani kweny Maisha unaangalia Hela au unaangalia Sifa za kijinga
NB; Mtu kama una uwezo,Pitia Advance.
Ukiweza Soma PCB, Kama Physics inakushinda Soma CBG.
NAONGEA FROM EXPERIENCE.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Nondo ndo nini wewe? Acha kudanganya watu? Nondo bila hela?
Nondo Mshahar mdogo?
Kwani ukisom Degree ukazingatia,Hauwezi kuwa Nondo?
Kwanza ukisoma Degree unakuwa umepunguza Miaka, Here i mean; Diploma ukisoma, unamaliza alafu huko mbeleni utakuwa unafikiria kwenda kusoma tena Degree
Kupoteza Muda tu.
Soma Advance kama unaweza,Pata Bachelor, Anza kula Maisha ya Hela kubwa wakato bado upo Kijana na Vyeo mbali mbali.
Soma Diploma, Pata Mshahara mdogo, kuwa chini ya Wenzio, anza kufikiria kwenda kusoma, Uzee huo hapo.
Am Signing out.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Wanapewa mkopoHivyo diploma hana mkopo kabisa mkuu
Umeongea vzuriHuwa namshauri mtu apitie Diploma kama ana focus ya ndoto ya kuwa mtu fulani teari lakini kama bado hajui nani anataka aje kuwa Diploma haimfai
Mfano Kama unajijua kabisa wewe focus yako ni kuja kuwa Health Lab techinician una nafasi nzuri zaidi ya kutengeneza Carrier yako kama ukipitia Diploma
kwa kuwa utakuwa umeanzia kuijua fani kutokea level ya chini kabisa na utajenga exposure mapema kabisa nakujua a to z ya fani mapema....Kwa course zenye field unaanza kujenga connection mapema unapoenda field na kwa zenye rotation inakujengea experience ya kukumbana na real life situations za fani yako
Pia walimu wanaokufundisha ni ambao wanaijua fani vizuri
Pia diploma ni practical zaidi na ipo specific kwa vile vinavyokuhusu chukulia mfano mtu anataka kuja kusoma Telecom Engineering...kuna topic ngapi A level ambazo hazina uhusiano wowote na Telecom
Je kama yeye kipaji chake ni Telecom ana akafanya vizuri sana topics kama za Umeme na Electronics lakini ambazo zinahusu mechanics mfano zikamuangusha akafeli physics NECTA?anakuwa amepotea teari na ndoto yake imekufa
Ukitoka Diploma unaondoka na cheti mkononi ambacho kinakutambulisha popote pale kwamba una ujuzi fulani,elimu yako inaanza kukutengenezea kipato tofauti na A level
Unaanza kujua changamoto za elimu ya juu mapema
Pia hakuna gap kubwa sana kati ya Diploma na Degree hasa kwenye Engineering na Health Courses kwenye upande wa mishahara na hata majukumu mnayopewa kitu kimoja nilichogundua Degree sio watendaji wazuri ukifananisha na Diploma labda kwa kuwa Degree anasoma vitu vingi kwa wakati mmoja kumaster kimoja kimoja kwa umakini inakuwa ngumu
Intake hii kuna uwezekano wa kupewa mikopo,, shushushu kaznVip mkuu. Hv civil eng diploma. Unaeza pata mkopo??
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Hata sjakuelewa,,, hiz degree za online shida tupuuuSio Kweli,Ukisapoti Diploma ukaiponda Degree itakuwa maneno ya mkosaji au mtu asiyejiamini na Matokeo ya Form 6.
Umetoa mifano kadhaa, Ila ujue mtu akipitia Form 6 na kupata matokeo mazuri, Huyu wa Diploma anakuwa "Cha mtoto"
Eti unajifariji kuwa Degree hawajui sana Practical sasa wewe unataka ujue Practiacal na Mshahara mbuzi wako? unajisifu ujinga!
Kwani kweny Maisha unaangalia Hela au unaangalia Sifa za kijinga
NB; Mtu kama una uwezo,Pitia Advance.
Ukiweza Soma PCB, Kama Physics inakushinda Soma CBG.
NAONGEA FROM EXPERIENCE.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Sio Kweli,Ukisapoti Diploma ukaiponda Degree itakuwa maneno ya mkosaji au mtu asiyejiamini na Matokeo ya Form 6.