Young Killer na Young D wadaiwa kupigana studio kwa Mr. T Touch

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wapendwa wa jukwaa hili katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Wasanii madogo wa hapa bongo ambao ni wakali wa kuflow na mashail yaliyoenda shule pia ndo madogo wenye upinzan mkubwa katika game ya hiphop wanadaiwa kupigan wakiwa studio kwa producer wao ambaye kwa sasa ndo anaonekana kutamba kwa kuwa mtayarishaji wa nyimbo bora MR T TOUCH

Chanzo cha ugonvi wao bado hakijafahamika lakin alipotafutwa mr t touch ili azungumuzie tukio zima la madogo hao kupigana hakupatikana mara moja na ilishindikana kumpata

Kama ni kweli hawa madogo wamepigana ni kitu kibaya sana ndan ya jamii yetu na mziki wetu kwa ujumla na kama ni kutafuta kiki kwa piki piki bas sio mbaya

Nawasilisha

Balikiwen sana

LONDON BABY
 
Hii habari umeileta hapa kama taarifa au kama swali?..
 
young killer ni mkorofi yaani unamuonesha mwwnzako dushe lako halafu unamwambia [HASHTAG]#unaiyonaje[/HASHTAG]?
 
Wakipigana lazima mshindi apatikane..Nani kapigwa sasa??

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
Kiki hiyo.....wasanii watanzania sio wakuamini kabisa..
 
Wacha wapambane na
Hali zao wenywe

Nan kawatuma wakatumie
Unga
 
Back
Top Bottom