Search results

  1. dSamizi

    Utumishi; No placement, No interview, No posts advert hawa 5elfu wa JPM wamepitia wapi?

    Wandugu habarini za jioni, kwa mujibu wa hotuba ya mkulu jana kasema sio kweli kuwa ajira zilisitishwa, bali ajira zinaendelea kutolewa. Nmejaribu tembelea ile website ya ajira za serkali nlichokutana nacho ni hichi apa
  2. dSamizi

    PICHA: Watoto walichofanyiwa na bank house-NMB

    Wanajukwaa ile nmb ya zaman kweli sio ya sasa naona wanajiweka sawa kwa ushindani na kuboresha huduma lkn kwa hili wamenikumbusha mbali saana, zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita; hakuna kitu nlikua nnapenda kama kwenda na mzee bank lakini leo bank ya nmb inaaccount kwa ajili ya Watoto. Kwa...
  3. dSamizi

    "Hakuna tofauti ya Mrema wa NCCR na Lowasa wa CHADEMA"

    Sio msomaji saana wa hili gazeti, lkn leo limenchekesha asubuhi asubuhi kwa hivi vichwa viwili vya habari, kimoja-wapo "Hakuna tofauti ya Mrema wa NCCR na Lowasa waCHADEMA" Mrema alipata kuvuma kwa maamuzi na umakini kupelekea hata Mzee Mwinyi kumtengenezea cheo cha Naibu wazir mkuu...
  4. dSamizi

    Viwango vya mishahara bara na Zanzibar; Shein awaongeza 100%!

    Wanajamvi kwa mujibu wa gazeti la nipashe leo linasema Shein kaongeza mishara watumishi kwa asilimia 100, inamaana mwalimu wa zenji analipwa tofauti na wa Tanganyika? Na je kama ni kweli, hili limekaaje kwani ikiwa ni kisingizio cha ugumu wa maisha, suala la sarafu ni la muungano hivyo wote...
  5. dSamizi

    Hali tete kiusalama yarejea mkoani Kigoma

    Nimepokea taarifa za majambazi kuvamia na kuua mtu mmoja pale Kitahana Center Wilayani Kibondo. Naungana na wanafamilia kuwapa pole kwa msiba huo lakini tunawaombea majeruhi na wote waliothirika na tukio hilo wapone haraka. Sasa natoa wito kwa serikali kuchukua hatua kali na za dharula kwa...
  6. dSamizi

    Agizo la Rais: Watumishi hewa Arusha waongezeka toka 270 hadi 350

    Idadi ya watumishi hewa yazidi kuongezeka kutoka 270 na kufikia 350 mkoani Arusha. Idadi ya watumishi hewa katika mkoa wa Arusha imeongezeka kutoka 270 na kufikia 350. Akikabidhi taarifa ya matokeo ya uchunguzi wa Tume iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daud Felexs Ntebenda, Katibu Tawala...
  7. dSamizi

    Jinsi ya kuinstall whatsapp kwenye iPad

    Wataalam naomben maelekezo ya namna naweza fanya installation ya whatsapp kwenye ipad nmejaribu kwa namna ya kawaida lkn inakataa kuoperate. Mwenye mwanga zaid. App nyingine km viber, jamii forums, imo etc. zinaoprate bila tatzo
  8. dSamizi

    RC Arusha akanusha kukataza pombe aina ya Kiroba

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amekanusha taarfa zilizo lipotiwa na baadhi ya magazet wiki ilopita kuhusu utumiaji wa vilevi, kuwa wananchi wanauhuru wa kutumia vilevi baada ya muda wa kaz na si vinginevyo.
  9. dSamizi

    Watumishi tisa wa halimashauri ya manispaa ya Kigoma ujiji wasimamishwa kazi

    Kwa mujibu wa taarifa zimezopatikana hivi punde watumishi tisa wa manispaa ya kigoma ujiji wamesimamishwa kaz kwa matumiz mabaya ya ofisi.
Back
Top Bottom