Mkuu Uko sawa kabisaPolice na jeshi mkuu
Hao nao wapo katika mfumo wa utumishi wa umma kumbe.Police na jeshi mkuu
Siyo kila ajira inawekwa kwenye website ya Utumishi!Ajira elfu 5 ni JWTZ, police ,usalama wa taifa, madaktari wa mlaganzala jkt, na baadhi ya idara mfano nida.Wandugu habarini za jioni, kwa mujibu wa hotuba ya mkulu jana kasema sio kweli kuwa ajira zilisitishwa, bali ajira zinaendelea kutolewa. Nmejaribu tembelea ile website ya ajira za serkali nlichokutana nacho ni hichi apa View attachment 429670View attachment 429669View attachment 429671
Hivi Ewura,Nssf,Ppf,Self mf,TIB,TPA,Tra,...& co wako kundi gani....mmmmhHao nao wapo katika mfumo wa utumishi wa umma kumbe.
Well said.Siyo kila ajira inawekwa kwenye website ya Utumishi!Ajira elfu 5 ni JWTZ, police ,usalama wa taifa, madaktari wa mlaganzala jkt, na baadhi ya idara mfano nida.
Siyo kila ajira inawekwa kwenye website ya Utumishi!Ajira elfu 5 ni JWTZ, police ,usalama wa taifa, madaktari wa mlaganzala jkt, na baadhi ya idara mfano nida.
Huwa wanasahau walikotokaHvi ile ilikua ni hotuba au majibu ya maswal ya waandishi? Afu kuhuxu ajira nimejua ualimu sio kipaumbele cha huyu rais mwenye fani ya ualimu.
Labda itakuwa walitoka UVCCMWandugu habarini za jioni, kwa mujibu wa hotuba ya mkulu jana kasema sio kweli kuwa ajira zilisitishwa, bali ajira zinaendelea kutolewa. Nmejaribu tembelea ile website ya ajira za serkali nlichokutana nacho ni hichi apa View attachment 429670View attachment 429669View attachment 429671