RC Arusha akanusha kukataza pombe aina ya Kiroba

dSamizi

Senior Member
Jan 2, 2016
106
54
Screenshot from 2016-04-15 19:46:35.png


Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amekanusha taarfa zilizo lipotiwa na baadhi ya magazet wiki ilopita kuhusu utumiaji wa vilevi, kuwa wananchi wanauhuru wa kutumia vilevi baada ya muda wa kaz na si vinginevyo.
 
Mimi cyo mtumiaji wa hzo bidhaa lkn hawa watengenezaji wana leseni za so ilikuwa kama kuaribu business za watu na kupunguza kipato cha serikali Kwani hawa wafanyabiashara na watumiaji wanalipa kodi pia
 
Utakataza matumizi bila kufunga viwanda vinavyozalisha au kuzuia uingizaji nchini.
 
View attachment 338777

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amekanusha taarfa zilizo lipotiwa na baadhi ya magazet wiki ilopita kuhusu utumiaji wa vilevi, kuwa wananchi wanauhuru wa kutumia vilevi baada ya muda wa kaz na si vinginevyo.
Ukitaka kuchoma maini yako kunywa hiyo gongo inaitwa Kiroba imeshauwa watu wengi sana nashangaa haijapigwa marufuku
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Mi nadhan ule ushaur wa mbunge mmoja toka kanda ya ziwa ni vema kuufanyia kaz, ni utafiti gan ulofanyika na kujiridhisha kuwa viroba havina athar kubwa kwa jamii zetu, ni vema kuweka siasa pemben kwa masirah ya wananchi. Inasemekana viroba vinaathar zaid kuliko hata bangi (binafsi sio mtaalam kwenye hii field nadhan wataalam watusaidie)
 
Alitaka kuua kiwanda wakati awamu ya tano ni ya VIWANDAAA, ingawa hadi sasa hakuna dalili ya kuanzishwa kiwanda kipya
 
Back
Top Bottom