Watumishi tisa wa halimashauri ya manispaa ya Kigoma ujiji wasimamishwa kazi

dSamizi

Senior Member
Jan 2, 2016
106
54
Kwa mujibu wa taarifa zimezopatikana hivi punde watumishi tisa wa manispaa ya kigoma ujiji wamesimamishwa kaz kwa matumiz mabaya ya ofisi.
 
Kwa mujibu wa taarifa zimezopatikana hivi punde watumishi tisa wa manispaa ya kigoma ujiji wamesimamishwa kaz kwa matumiz mabaya ya ofisi.

Nani kawasimamisha mkuu? Maana si ajabu kila mtu akasimamishwa kwa sasa!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mwisho serikali itakosa watumishi, wataisha na wengine watahofia kuajiriwa
 
kwa hali ambayo nchi ilifikia wakati wa JK. HATUA hizo haziepukiki...hebu fikiria wale maofisa misitu wa mikoa hawakuwahi kupeleka fedha serikalini kwa muda mrefu...unafikiria nini?
 
mwisho serikali itakosa watumishi, wataisha na wengine watahofia kuajiriwa
Wezi na mababaishaji ndio watakaohofia kuajiriwa, Kuna wengi wachapakazi na uwezo wangependa kupata hizo ajira za serikali ili kuwatumikia wananchi.
 
kwa hali ambayo nchi ilifikia wakati wa JK. HATUA hizo haziepukiki...hebu fikiria wale maofisa misitu wa mikoa hawakuwahi kupeleka fedha serikalini kwa muda mrefu...unafikiria nini?

Kumbuka kuwa wakati wa Jakaya Kikwete ndiyo imewekwa mikakati mizuri sana ya kuzuwia ubadhirifu Serikalini, alileta CAG, TAKUKURU na amewafunga wengi sana huko mawilayani, labda ulikuwa haujui tu, kawafunga mpaka mawazirifu wabadhirifu, jisomee: ORODHA YA WALIOWAHI KUHUKUMIWA KWA MAKOSA YA RUSHWA

Nnaona una chuki binafsi na Jakaya Kikwete lakini kwa utendaji uliotukuka mpaka sasa Jakaya anaongoza.
 
Last edited:
Kumbuka kuwa wakati wa Jakya Kikwete ndiyo imewekwa mikakati mizuri sana ya kuzuwia ubadhirifu Serikalini, alileta CAG, TAKUKURU na amewafunga wegu sana huko mawilayani, labda ulikuwa haujui tu, kawafunga mpaka mawazirifu wabadhirifu, jisomee: ORODHA YA WALIOWAHI KUHUKUMIWA KWA MAKOSA YA RUSHWA

Nnaona una chuki binafsi na Jakaya Kikwete lakini kwa utendaji uliotukuka mpaka sasa Jakaya anaongoza.
Huna uhakika na unachokiandika ndio maana wakoseakosea
 
kwa hali ambayo nchi ilifikia wakati wa JK. HATUA hizo haziepukiki...hebu fikiria wale maofisa misitu wa mikoa hawakuwahi kupeleka fedha serikalini kwa muda mrefu...unafikiria nini?

Mimi nikisikia jina tu la huyo mtu kwa kweli napatwa na kichefu chefu....that man was a complete joke kwa taifa letu.
 
Yaani bilan hâta aibu unakuja hapa eti kazuia ubadhirifu au wakati jpm atangza bungeni hasara nchi iliyopata kwa safari za nje tuu uliweka pamba masikioni au hayo madudu yote bandarini ulikuwa utawala wa mwinyi? Kuwaaga hâta na aibu usikute ww ndo jk unatuzuga na hayo sijui yanaitwaje uliyovaa huko kichwaniaFoxy, post: 15037329, member: 43551"]Kumbuka kuwa wakati wa Jakya Kikwete ndiyo imewekwa mikakati mizuri sana ya kuzuwia ubadhirifu Serikalini, alileta CAG, TAKUKURU na amewafunga wegu sana huko mawilayani, labda ulikuwa haujui tu, kawafunga mpaka mawazirifu wabadhirifu, jisomee: ORODHA YA WALIOWAHI KUHUKUMIWA KWA MAKOSA YA RUSHWA

Nnaona una chuki binafsi na Jakaya Kikwete lakini kwa utendaji uliotukuka mpaka sasa Jakaya anaongoza.[/QUOTE]
Yaani bilan
 
Watumishi waliosimamishwa kazi ni nani na nani wa idara gani na wamesimamishwa kwa makosa gani? Si vema kutuletea habari nusunusu.
 
Back
Top Bottom