dSamizi
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 106
- 54
Wanajamvi kwa mujibu wa gazeti la nipashe leo linasema Shein kaongeza mishara watumishi kwa asilimia 100, inamaana mwalimu wa zenji analipwa tofauti na wa Tanganyika? Na je kama ni kweli, hili limekaaje kwani ikiwa ni kisingizio cha ugumu wa maisha, suala la sarafu ni la muungano hivyo wote wanaexperience huo ugumu wa maisha! Ningependa kujua kama viwango vya mishahara vinatofautiana, mfano kwa mwalimu degree anaanza kaz Tanganyika na kule zenji.