Picha: Mhe. Bashite pamoja na classmates - wapo na wapo tayari kuzungumza

dSamizi

Senior Member
Jan 2, 2016
106
54
IMG_3847.jpg

IMG_3846.jpg

Kazi mnayo UVCCM!
 
Sasa hizi habari za bashte tumezichoka. Haiwezekani kila kukicha ni bashite tu. Tumesha faham kuwa vyeti ni fake na hkuna wa kumsafsha. Magu antumbue asimtumbue ni juu yake ila ukweli tumesha ujua.
Bashite Bashite Bashite
 
Sasa hizi habari za bashte tumezichoka. Haiwezekani kila kukicha ni bashite tu. Tumesha faham kuwa vyeti ni fake na hkuna wa kumsafsha. Magu antumbue asimtumbue ni juu yake ila ukweli tumesha ujua.
Usiseme "tumezichoka" umezichoka wewe na nani?.....semea nafsi yako. Na ukiona hizi habari za Bashite huzipendi basi usiingie kwenye social networks.
 
Sasa hizi habari za bashte tumezichoka. Haiwezekani kila kukicha ni bashite tu. Tumesha faham kuwa vyeti ni fake na hkuna wa kumsafsha. Magu antumbue asimtumbue ni juu yake ila ukweli tumesha ujua.
kama umechoka ni ww sisi hatujachoka kbs lazma aweke vyeti sio machozi machozi msiban
 
Back
Top Bottom