dSamizi
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 106
- 54
Sio msomaji saana wa hili gazeti, lkn leo limenchekesha asubuhi asubuhi kwa hivi vichwa viwili vya habari, kimoja-wapo "Hakuna tofauti ya Mrema wa NCCR na Lowasa waCHADEMA" Mrema alipata kuvuma kwa maamuzi na umakini kupelekea hata Mzee Mwinyi kumtengenezea cheo cha Naibu wazir mkuu (hakipo/hakikuepo kikatiba). 1995 aliitikisa CCM kiasi cha kudai na baadhi ya watu kuamini kuwa kaibiwa ushindi lkn miaka 20 baadae anampigia debe mgombea wa CCM na kusema hakuna mgombea mwingine, hata wa chama chake mahiri km wa CCM!;km ilivyo kwa Hon. Mrema, Hon. Lowasa pia alivuma vya kutosha lkn, Je 2025 atampigia debe wa CCM? Kama kuna dalili vile.....