Search results

  1. kagoshima

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    We ndo huna akili. Anacho maanisha jamaa nikwamba , kwanini akina janabi wasiifanyie utafiti mizizi husika na kuuhabarisha umma kuhusu uganisi wake kuzuia NCD, kwa maana hiyo akina janabi et al (scientists) wanashindwa na wamasai
  2. kagoshima

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Nimeuliza hapo juu, Kuna millions ya watu wanakunywa pombe Sanaa lakini Hadi wanazeeka bila kuugua hizo Figo na moyo why?
  3. kagoshima

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Hebu jibu hoja hii. Kuna millions of people wanakunywa pombe Sanaa lakini wanazeeka bila magonjwa ya Figo Wala moyo. Wajapani wanaongoza kwa idadi ya wazee lakini wanakunywa pombe sana huku kwetu wanywaji wakasome, unaielezeaje hiyo.
  4. kagoshima

    Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Nakumbuka mwaka 1996 pale Tunduma , ujambazi ulikua unafanywa na polis. Mitaa ilikua inafungwa saa nne usiku. Waliletwa polis Toka makao makuu kuja kukomesha matukio ya uhalifu, polis kadhaa walidakwa.
  5. kagoshima

    KERO Barabara za Mitaa ya Mbeya Mjini zimeharibika mno, hazipitiki. TARURA fanyieni kazi

    Mbunge wenu Yuko busy na matamasha ya Ngoma za jadi , subirini. Nashangaa kwenye andiko lako hujamtaja. Huyo ndo mbunge anahangaika na vitu vidogo vidogo visivyo na tija kwa wananchi na kuacha mambo ya mhimu
  6. kagoshima

    Muundo wa muungano ndio KERO kubwa namba moja ambayo haizungumziwi

    Imagine, zilungana Zanzibar na Tanganyika kuunda seeikali ya Muungano, lakini zanzibari ime retain taifa lake wakiwa na katiba, raisi, wimbo wa taifa, bunge, Baraza la mawaziri, wimbo wa taifa, bendera huku Tanganyika ikifutika. Hilo ndio KERO kuu isiyo ongelewa
  7. kagoshima

    CHADEMA mnavyokumbatia watu wanaotukana mtandaoni inawafanya muonekane chama cha kihuni

    We pimbi , wote hao uliowataja ni Wana ccm
  8. kagoshima

    Upendeleo wa Jeshi la Polisi kwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, Faris Buruan

    Nawaza tu angekuwa kiongozi wa BAVICHA au ACT Wazalendo katoa lugha au vitisho au kauli ya uvunjifu wa amani kama iliotolewa UVCCM kiongozi mkoa wa Kagera. Polisi wangemkamata kwa kosa la lugha ya uchochezi Angeteswa na kuzungushwa huku na huko vituo vya polisi Ungesikia hata msajili wa viama...
  9. kagoshima

    Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

    Mbona unajivua nguo kwa matusi? Hivi siku hizi posho ya uchawa sh ngapi? Kuna kipindi ilikua elfu 7000 enzi zetu nikiwa huko
  10. kagoshima

    Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

    Mbona unajivua nguo kwa matusi? Hivi siku hizi posho ya uchawa sh ngapi? Kuna kipindi ilikua elfu 7000 enzi zetu nikiwa huko
  11. kagoshima

    Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

    Chawa lingine hili. Wao matatizo ya inci hayawahusu, wako after posho za uchawa
  12. kagoshima

    Rais Samia wewe ndio chanzo cha matatizo ya umeme nchini

    Machawa wameshafika mmoja huyo
  13. kagoshima

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Mpumbavu ni wewe ambaye dini ya waaranu imekutoa ufahamu Hadi unasaliti watanzania wenzio
  14. kagoshima

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Naona hoja kwa mbaali, ila usikane uhusika wa magaid ya hamasi maana yamekiri
  15. kagoshima

    Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Cc kimsboy jahidina kindakindaki aliyekuwa anapinga HAMAS hawajaua mtanzania mwenzetu
  16. kagoshima

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Achana na hayo ya marekani , Rudi kwenye hoja yangu, kwanini palestina wapigane upande wa amini dhidi yetu ? Kisha miaka mingi baadaye wanamuua mtanzania mwenzetu pamoja na kujitetea kwamba ni mtanzania ?
  17. kagoshima

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Ndio na narudia Tena. Palestina wamewahi tekwa wakipigana upande wa Idd amini dhidi yetu
  18. kagoshima

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Narudia Tena, wamewahi kupigana upande wa Idd amini kuua askari wetu
Back
Top Bottom