Search results

  1. Kifaranga

    Nini maana neno Achuz

    Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini? Msaada tutani.
  2. Kifaranga

    True copy of original

    Wadau nina document (kadi ya gari) nataka niicertify copy yake kama true copy of original. Nilitaka kujua naweza kufanya hivyo pia mahakamani au? Ninatakiwa niende na vitu gani ili kukamilisha hilo zoezi, kwa haraka haraka najua lazima uende na stamp duties kutika TRA na charge yake ni 5,000/=...
  3. Kifaranga

    Kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA

    Wakuu nafikiri mko pouwa, Sijui kama nitakuwa nimeweka kwenye jukwaa sahihi kama sivyo mods watanisaidia kupeleka kwenye jukwaa sahihi. Ishu yangu ni jinsi ya kuunganisha maji ya DAWASCO / DAWASA kutoka kwenye mabomba yao kuja kwenye nyumba yangu. Jee nikiweka tanki (simtank) langu juu (nina...
  4. Kifaranga

    Mtoto wa mwaka na nusu hatembei

    Wakuu habari za muda huu, nina rafiki angu ambaye ana mtoto wa kike ambaye sasa hivi anatimiza mwaka na miezi 7 hivi takribani sasa mpaka leo huyo mtoto hajatembea kabisa shida itakuwa ni nini alienda Muhimbili wakamuambia hilo tatizo halitibiki chakufanya waendelee kumfanyisha mazoezi. Je kuna...
  5. Kifaranga

    Adha ya usafiri wa Mwendokasi; Lini mabasi yataongezwa barabarani?

    Jamani hizi mwendokasi mpya zilizoingia bandarini takribani miezi kama miwili ishapita ni lini zitaingia barabarani kupunguza hii kero ya usafiri??? Pia mbona ruti ya Kimara - Morocco (007) imeondolewa jioni?? mi mpaka sasa sijaelewa mantiki yao ya kuiondoa hii ruti wakati wa jioni. Sisi wa...
  6. Kifaranga

    TV za HiSense

    Wakuu swalamaaa humuuuu??? Naulizia kama kuna mtu yeyote mwenye utaalam wa hizi TV za HiSense hasa hasa katika ubora wake na vitu gani vinasumbua sana kwenye hizi TV. Na pia ushauri kwa TV za kampuni ipi ni bora (Samsung, Sony, LG n.k) ukiachilia mbali HiSense. TV. Asante nawakilisha.
  7. Kifaranga

    Nini husababisha Septic tanks (chemba za choo) kujaa mapema?

    Wakuu habari za leo? Naomba kujuzwa kuhusu septic tanks! Nimehamia kwenye kibanda changu ninakaribia kumaliza mwaka tangu nihamie. Kuna kitu nakiona hapa ambacho sicho cha kawaida kwenye chemba zangu za choo, kwani ile chemba kubwa (soakaway au ditch sijui ndio kiingereza) kimeanza kujaa...
  8. Kifaranga

    Wanaowasha full light barabarani usiku

    Habari za jioni waheshimiwa, mo naomba bunge lijalo lipitishe sheria kali kwa wale wanaowasha taa full wakati wa usiku kwani huwa zinaumiza sana, kitu ambacho kinaweza kusababisha kutokuona vizuri na wakati mwingine ajali. Unakuta madereva wengine wanawasha taa kali kama vile wanawinda maporini...
  9. Kifaranga

    Mbao za mninga / mkongo

    Hivi jamaaanii kwa mfano ukitaka kujua hizi mbao ni mninga au mkongo unajuaje juaje manake najua wengi wageni hapa, kuogopa kutapeliwa na wauza mbao au mafundi wa milango. Msaada plz kwa anayejua.
  10. Kifaranga

    TANESCO, Umeme kukatika mara kwa mara Kimara, tatizo ni nini?

    Hivi TANESCO mna mgao au?? Mbona umeme unakatika sana maeneo ya Kimara! Jana tu umekatika saa 6 na nusu usiku mkaurudisha saa 11 asubuhi, mkaukata saa 12 asubuhi mkaurudisha saa sita mchana mmekata tena saa nane hii mchana. Jamani kuna niniiii mwenye habari aseme hapa ....
  11. Kifaranga

    Kuuza eneo ambalo bado halijapata certificate of offer

    Wadau habarini za jioni, Ninataka kujua vitu vya kufanya kabla sijauza eneo langu ambalo bado sijapata hati ya kiwanja kutoka wizara ya ardhi, kwani kwa sasa zile documents (nafikiri ni letter of offer - hizi documents zinanichanganya kidogo na hapa nitahitaji shule kidogo), bado zipo...
  12. Kifaranga

    Maduka mazuri ya vifaa vya umeme

    Habarizi za leo? Jamani naomba kuulizia ni wapi kuna maduka mazuri ya vifaa vya umeme original sio mchina Dar es Salaam na pia naomba kujua labda gharama ya vifaa vya umeme kwa makadirio kwenye nyumba ambayo ina sebule, dining, kitchen, baraza mbili (mbele na nyuma) vyumba vitatu vya kulala...
  13. Kifaranga

    Msaada; Jinsi ya kujua radio ipi ina wasikilizaji wengi

    Hivi kuna namna ya kuweza kujua redio ipi ina wasikilizaji wengi?? Manake hata ninavyojua kama kampuni ikipeleka tangazo redio fulani bei inakuwa tofauti na ukipeleka kwenye redio nyingine, sababu ni kuwa redio moja ina wasikilizaji wengi kuliko redio nyingine. hivyo bei ya tangazo inategemeana...
  14. Kifaranga

    Tatizo

    Wanajamvi nina tatizo moja limeanza kama wiki mbili zilizopita, ni hivi, mi ni kijana nimeoa kama mwaka na nusu umepita na mi na mke wangu tunafanya mapenzi vizuri tu, tunapendana sana. Sasa kuanzia wiki mbili zilizopita nikifanya mapenzi asubuhi kabla ya kwenda kazini uume unasimama mfululizo...
  15. Kifaranga

    Vyakula vya wanga

    Vyakula vikuu kwa sisi watanzania na wenye hali ya chini ya kawaida tumezoea kula wali, ugali, na ndizi. Kwa utaalam wa kiafya hatutakiwi kula vyakula hivi mara kwa mara kwani vinasababisha kuongeza uzito wa mwili, vinaongeza cholesterol mwilini na hatimaye kuja kusababisha magonjwa ya moyo kama...
  16. Kifaranga

    mgao wa umeme

    Hiviiiiiii, huu mgao ukoje ukoje???? Ina maana ni masaa 24????? Kimara umekatika tangu jana saa 10 jioni ukarudi saa 4 usiku, ukakatika saa 6 sijui saa 7 usiku, ndo hujarudi mpaka leo jioni hii .....
  17. Kifaranga

    Umeme kukatika katika mara kwa mara

    Hivi kuna nini, mbona umeme unakatika mara kwa mara tangu jumamosi halafu nashangaa TANESCO kimyaaaaa hawajasema chochote au ni mimi sijui, mwenye habari tafadhali tupia hapa ...........
  18. Kifaranga

    Clouds FM...

    Naomba kujua. Mbona Clouds FM imepewa masafa ya mwanzo mwanzo kabisa kuliko redio yeyote ile Tanzania? 88.5 FM Dar, 88.4 FM Pwani, 88.5 FM Moro, 88.0 FM Tabora, 89.3 FM Kigoma, 87.9 FM Arusha/Moshi, 87.8 FM Mbeya, 89.7 FM Lindi, 88.4 FM Mtwara, 89.7 FM Singida, 88.1 FM Mwanza, 88.4 FM Masasi...
  19. Kifaranga

    Wanafunzi wa Manzese Secondary wanaanguka chini na kuzimia

    Wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya Sekondari Manzese Dar es Salaam wameanguka wakiwa shuleni na kupoteza fahamu, huku wengine wakitoka madarasani na kukimbia hovyo. Uongozi wa shule umegoma kulizungumzia tukio hili. Chanzo: Radio One Stereo
  20. Kifaranga

    Charging system ya TANESCO

    Wadau hivi ni kweli kwamba TANESCO wamechange charging system yao, kwani baada ya ku-istall system mpya yao wakati ule tunaambiwa (ilikuwa september mwaka huu) kwamba lazima ununue umeme kwanza kwenye vituo vya TANESCO then ndo baadaye uendelee kununua kwa M-PESA, TIGO N.K. Lakin baada ya...
Back
Top Bottom