Maduka mazuri ya vifaa vya umeme

Maduka mazuri ya vifaa vya umeme

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Habarizi za leo?

Jamani naomba kuulizia ni wapi kuna maduka mazuri ya vifaa vya umeme original sio mchina Dar es Salaam na pia naomba kujua labda gharama ya vifaa vya umeme kwa makadirio kwenye nyumba ambayo ina sebule, dining, kitchen, baraza mbili (mbele na nyuma) vyumba vitatu vya kulala (kimoja master) na chumba cha kusomea bila kusahau corridor.

Nashukuruni nasubiria msaada weny wakuu!
 
Inategemea na mahitaji yako kama ni switch za one way na socket outlet na nyaya haivuki kilo 3 orodhesha vifaa unavyoweka kwenye nyumba upewe total
 
Vifaa original vinapatikana kila duka la umeme ila kwa urahisi wa bei nenda mtaa wa agrey kwakua hata wauzaji wa mitaani wanachukua pale kuhusu gharama hatujajua unahitaji kitu gani na kitu gani na hiyo wiring unataka ya aina gani..
 
Vitu kama:

Main Switch 1
Conduit za ukutani 80 pcs
Conduit za Blue 160 pcs
Square Box single 35
Square Box Double 50
Rounding Boc njia moja 24 Pcs
Sedo Clamps 2 pcs
Square Box Plastic 30
Corner Ndevu 100
Mifuniko 20
2.5 mm square 9 pcs
1.5 mm square 10 pcs
Earth Rod 1
Earthing wire 10 meters
Cooker Switch 1
Switch Socket Twin 25
Switch Socket Single 3
Switch Socket TV Twin 3
Switch Socket TV Single 3
D.P Switch 1
2 way switch 4gang 2 pcs
2 way switch 3gang 7 pcs
2 way switch 2gang 14 pcs
2 way swutch 1gang 7 pcs
Connector 30 Amps 8 pcs
Connector 15 Amps 10 pcs
Circuit Break 1 pc


Ndo hivyo tu bwana Parcel

Msaada hapo wa gharama

Asante
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom