Mbao za mninga / mkongo

Mbao za mninga / mkongo

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
144
Reaction score
31
Hivi jamaaanii kwa mfano ukitaka kujua hizi mbao ni mninga au mkongo unajuaje juaje manake najua wengi wageni hapa, kuogopa kutapeliwa na wauza mbao au mafundi wa milango.

Msaada plz kwa anayejua.
 
haijalsh ni mninga au mti gan, ubora wa mbao ni rang nykundu tupu bla mchanganyko,usiwe na makov, uwe mzito,hupendza hata kabla ya vanishng.
 
Tafufa fundi/mtu anayejua tofauti ya hizi mbao uende naye, vinginevyo utaibiwa tu.
 
Mninga una makovu mengi wakati mkongo hauna. Mkongo una aina nyingi mfano mkongo rozi , mkongo maziwa.
 
Back
Top Bottom