mmmh shule ya day tena mchanganyiko!!!sidhani labda ushirikina!
mmmh shule ya day tena mchanganyiko!!!sidhani labda ushirikina!
Wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya Sekondari Manzese Dar es Salaam wameanguka wakiwa shuleni na kupoteza fahamu, huku wengine wakitoka madarasani na kukimbia hovyo. Uongozi wa shule umegoma kulizungumzia tukio hili.
Chanzo: Radio One Stereo
unmanageable emotional excesses...sasa watu wanatoka makwao haya matatizo watayapata wapi as a group!!!Kwani wee hysteria unaielewaje?
Hysteria???