Vyakula vya wanga!


Kifaranga

Kifaranga

Senior Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
138
Likes
14
Points
35
Kifaranga

Kifaranga

Senior Member
Joined Jan 6, 2011
138 14 35
Vyakula vikuu kwa sisi watanzania na wenye hali ya chini ya kawaida tumezoea kula wali, ugali, na ndizi. Kwa utaalam wa kiafya hatutakiwi kula vyakula hivi mara kwa mara kwani vinasababisha kuongeza uzito wa mwili, vinaongeza cholesterol mwilini na hatimaye kuja kusababisha magonjwa ya moyo kama vile high blood pressure.

Sasa swali linakuja ukiondoa vyakula hivyo ni vipi vyakula vingine vikuu ambavyo havina carbohydrates (wanga) kwa wingi na mafuta kwa wingi ambavyo unaweza kutumia kama mbadala wa wali au ugali au ndizi??

Kama havipo unashauriwa uwe unakula (eidha wali au ugali au ndizi) kiasi gani ili kuepusha magonjwa haya??

Naomba msaada tutani pliiiiizzzzz wanajamii

Asante
 
giraffe

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Messages
553
Likes
90
Points
45
giraffe

giraffe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2010
553 90 45
kula mlo kamili(balanced diet)
 
peri

peri

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,584
Likes
45
Points
145
peri

peri

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,584 45 145
mwenye napenda kuvijua manake hivyo vyaktla vimenichosha. Imefikia hatua nala matunda tu ndo mlo wangu.
 
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,146
Likes
82
Points
145
Age
26
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,146 82 145
Mmmh kanii aoo watalamuu wanaishigi miakaa mingapii kama ukilaa vyakulaa vyetu vikizidi vinauwaa so tulee manini sasa nawaoo wanakulala,nini mbonatenaa waoo ndoowakwanzaa kufaa na cjui presha cjui nini ? Umuu duniani watu tunaishi kwa kuogopeshaana sanaa banaa aaaah
 
K

kipulumus

Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
71
Likes
1
Points
0
K

kipulumus

Member
Joined Nov 27, 2013
71 1 0
kula panya,magimbi,mihogo ,mbatata, mlo tosha
 
PesaNdogo

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Messages
1,998
Likes
769
Points
280
PesaNdogo

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2013
1,998 769 280
Niliwahi kuongea na nutritionist mmoja, anasema hivi, ugali mtu anaweza Kula hivi: ugali wa sembe kiasi cha nusu ya ngumi yako na iwapo unakula dona/ngano/ulezi unaweza Kula size ya ngumi yako moja halafu unajazilizia kwa mboga mboga tofauti na matunda na maharage kiasi, nyama nyeupe au samaki ili ujisikie umeshiba. Wali unapima kwa upana wa kiganja chako unapoweka kwenye sahani sio mlima halafu Eti upana wa kiganja kiasi tu. Na kunywa mengi. Hii hutumika kudhibiti uzito wa mwili pia.
 

Forum statistics

Threads 1,274,899
Members 490,840
Posts 30,527,263