Search results

  1. M

    Hakuna anayetukwamisha, ni ushindani wa biashara, kufaidika na keki ya dunia kunahitaji mbinu na weledi siyo siasa za kulaani majukwaani

    Salaam, Miaka yote tangu kupata uhuru, nchi za Africa, Tanzania ikiwemo, zimekuwa zikifanya siasa za kulaani nchi za magharibi zikiamini kuwa umasikini na matatizo ya nchi zao ni matokeo ya nchi za magharibi kuhodhi uchumi wa dunia. Viongozi wa nchi na wanasiasa wa Africa mfano Julius...
  2. M

    Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

    Wandugu, Nimesikitika kuwaona Timu ya Taifa Kilimanjaro Stars wakienda Uganda kwenye mashindano ya CECAFA kwa Uganda Airlines. Imebidi kuuliza ikiwa bado Air Tanzania tunaenda Entebbe. Na ikiwa bado tuna njia hiyo. Je uzalendo wa TFF upo wapi? Naona tunajimaliza wenyewe.
  3. M

    Mnawaita weupe "mabeberu" wanatulia, Tujifunze ku balance na kuheshimu utu wa watu wote, weusi kwa weupe

    Wandugu, Licha ya kuwa mtanzania mweusi nachukizwa na viongozi na baadhi ya watu kuwaita wazungu mabeberu. Ni wazi neno beberu linatumika kuwabagua watu weupe hasa wa nchi za magharibi. Kuendelea kutumia maneo ya aina hii kwenye dunia ya kisasa iliyounganika karibu kwa kila kitu kunaonesha...
  4. M

    Je, hii inakukumbusha nini kwa siasa za Tanzania?

    Cartoon Ni Kwa hisani ya This Is Africa.
  5. M

    Populist ni kiongozi wa namna gani?

    Populist ni neno la kiingereza lenye maana ya kiongozi anayefanya siasa kwa kuwaaminisha watu wa hali ya chini (ordinary people) kwamba umasikini wao ama matatizo yaliyopo nchi husika yanasababishwa ama kuletwa na tabaka la juu la matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Na kwamba nchi husika...
  6. M

    Siasa na Maendeleo Tanzania, tunakurupuka kujenga ukuta kwenye msingi uliokufa

    Wadau salaam, Ukitathmini juhudi zetu kwa umakini kwenye kujiletea maendeleo tangu kupata uhuru mwaka 1961 utagundua tumekosa msingi imara kwenye kufikia maendeleo yenye hadhi ya kiutu. Mwalimu Nyerere alijaribu kuweka msingi imara ambao juu yake maisha bora yangelipatikana. Msingi...
  7. M

    Je, ukilipiwa kila kitu ili uweze kutembelea nchi moja kwa wiki mbili kila mwaka uirejee mpaka kifo chako,utaenda nchi gani?

    Swali ni jepesi tu; Ikiwa utalipiwa kila kitu, yaani tiketi ya kwenda na kurejea unapoishi, malazi kwenye hotel ya hadhi nzuri kwa wiki mbili, chakula na fedha ya ziada kwa ajili ya kutalii, ukaambiwa uchague nchi ambayo kila mwaka utakuwa unakwenda hiyo hiyo bila kubadili mpaka kifo chako...
  8. M

    Mechi ya Tanzania vs Sudan CHAN iko hapa

  9. M

    Je, Afrika ya Kusini ingelikuwa vipi kama kusingelikuwepo wazungu?

    Wandugu, Afrika Kusini ni taifa lililoendelea zaidi barani Afrika kuliko taifa lolote lile. Nimebahatika kufika Johanesburg na Pretoria mara tatu kwa nyakati tofauti. Pia nimefika nchi kadhaa za Ulaya na kuishi kwa miaka kadhaa. Afrika Kusini kwa maendeleo ya miundombinu na mifumo ya...
  10. M

    Kulazimisha fadhila toka Afrika Kusini sababu tuliwasaidia ni aibu

    Salamu Wandugu, Wahenga walisema tenda wema uende zako. Usemi huu ni wa Kiwashili lakini naona waTanzania umetupita pembeni hasa linapokuja suala la uhusiano wetu na Taifa la Afrika ya Kusini. Wengi tumekuwa tukililaumu Taifa hilo lililoendelea zaidi barani Afrika, hasa kunapotokea...
  11. M

    Je, ni kweli Rais Magufuli hapendi kupingwa?

    Wandugu, kumekuwa na dhana kwamba Mhe Magufuli hapendi kusikia anapingwa na mtu yeyote kwa sababu anaamini yote ayafanyayo ni mazuri na anayafanya kwa usahihi na ufanisi usio na shaka. Ikiwa ni kweli, basi nataka tu kuwaambia kwamba kukubali kukosolewa kwa lengo la kujifunza na kuboresha njia...
  12. M

    Ushauri: CCM inabidi ijitathmini ikiwa inaweza kushinda kukiwa na uchaguzi wa huru na haki

    Shalom! Licha ya juhudi zinazofanywa na Mh. Magufuli kwenye kuleta maendeleo, kumekuwa na hisia na viashiria kwamba CCM haina ubavu wa kushinda kukiwa na uchaguzi wa huru na haki. Kumekuwa na mashitaka kutoka makundi ya watu na wanaharakati kwamba wakurugenzi wa halmashauri wamekuwa wakihusika...
  13. M

    Mchekeshaji Mpoki ulimdhalilisha nyota wa Simba Sc wa Kike

    Wanabodi! Nilifuatilia utoaji tuzo za Mo Simba Awards 2019. Kwa ujumla tukio hilo lilifana sana. Nawapongeza waandaaji. Lakini nimeona kitendo alichokifanya nyota wa uchekeshaji MPOKI kwa mchezaji bora mwanamke wa Simba Sc kisipite bila kukemewa. Ni kuhusu maswali aliyoulizwa dada huyu...
  14. M

    Ushauri kwa Diamond Platnumz na kundi la WASAFI

    Napenda kusema kuwa nampenda sana Diamond platnumz na nyota wote wa kundi la WASAFI. Pia nawapenda nyota wote wa muziki wa Tanzania wakiwamo Navy Kenzo na Ali Kiba. Nimekuwa nikisikiliza na kutazama muziki wa Tanzania kupitia YouTube na internet maana niko nje ya nchi. Sijawahi kuhudhuria...
  15. M

    Kwa nini wakenya wengi wana miguu mwembamba isiyo na uwiano na mwili?

    Hiki ni kitu halisi, nilikishuhudia Nairobi. Karibu wakenya wote miili yao ina miguu miembamba. Je ni kwamba wanakosa lishe wakati wa malezi? Hii ni tofauti kabisa na Tanzania na Uganda watu wake wamejaaliwa kuwa na miguu ya bia, na hips kwa wanawake. Ikiwa kuna mtaalamu naomba atufahamishe...
  16. M

    Vita dhidi ya ushoga tumwachie Mungu, binadamu hatutaweza

    Nianze kwa kusema kwamba MUNGU anatupenda wanadamu sote, wema na waovu. Japokuwa hakuna mwema hata mmoja chini ya jua. Sote tumepotea. Kwa sababu ya uovu wetu YESU alikufa MSALABANI ili alipe dhambi zetu kwa 100%. Kwa sababu hakuna anayeweza kuokoka kwa njia ya kutii sheria ya MUNGU. Yaani...
  17. M

    Hatma ya Jerusalem: Tanzania yapingana na Trump UN

    How countries voted on UN Jerusalem resolution
  18. M

    Documentary: Who owns Jerusalem?

Back
Top Bottom