Je, ndege zetu zimesitisha kwenda Entebbe? Iweje Kilimanjaro Stars wapande Uganda Airlines?

matunge

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
442
426
Wandugu,

Nimesikitika kuwaona Timu ya Taifa Kilimanjaro Stars wakienda Uganda kwenye mashindano ya CECAFA kwa Uganda Airlines.

Imebidi kuuliza ikiwa bado Air Tanzania tunaenda Entebbe. Na ikiwa bado tuna njia hiyo. Je uzalendo wa TFF upo wapi?

Naona tunajimaliza wenyewe.
 
Picha
FB_IMG_1575573044799.jpeg
FB_IMG_1575573053776.jpeg
FB_IMG_1575573036514.jpeg
 
Wandugu.
Nimesikitika kuwaona Timu ya Taifa Kilimanjaro Stars wakienda Uganda kwenye mashindano ya CECAFA kwa Uganda Airlines.
Imebidi kuuliza ikiwa bado airTanzania tunaenda Entebbe.
Na ikiwa bado tuna njia hiyo. Je uzalendo wa TFF upo wapi?
Naonda tunajimaliza wenyewe.
Kwani tatizo ni nini?!........unamjua aliyewalipia nauli?
 
SIKUHIZI HATUENDA KWANI HATUNA WATEJA KABISA HIYO NIA.UGANDA AIRLINES IMEWACHUKIUA WOTE

Wandugu.
Nimesikitika kuwaona Timu ya Taifa Kilimanjaro Stars wakienda Uganda kwenye mashindano ya CECAFA kwa Uganda Airlines.
Imebidi kuuliza ikiwa bado airTanzania tunaenda Entebbe.
Na ikiwa bado tuna njia hiyo. Je uzalendo wa TFF upo wapi?
Naonda tunajimaliza wenyewe.
 
Unamatatizo. Mimi nimeuliza maswali nawe waniuliza. Huoni ilikuwa ni vema unijibu kwanza.

Ikiwa safari yao imefadhiliwa na hao Uganda Airlines ama Museveni hakuna tatizo. Lakini Ikiwa wamelipa wenyewe TFF na AirTanzania bado wanafanya route hiyo basi kuna tatizo.
Wewe unadhani wamelipa wenyewe akina Manula?!!
 
Unamatatizo. Mimi nimeuliza maswali nawe waniuliza. Huoni ilikuwa ni vema unijibu kwanza.

Ikiwa safari yao imefadhiliwa na hao Uganda Airlines ama Museveni hakuna tatizo. Lakini Ikiwa wamelipa wenyewe TFF na AirTanzania bado wanafanya route hiyo basi kuna tatizo.
Wewe unaishi kwenye ujima wakati wenzio wako kwenye soko huria.

Mashindano ni ya Afrika mashariki na kati......ndege ni ya Afrika mashariki...... Tatizo liko wapi?!!!
 
Ndege yenu na nani? Hizo ni ndege za serikali wala siyo za wananchi. Ndege yenu haujawahi hata kupanda na hauna share yoyote. Kila siku unapanda mabasi na treni halafu unasema ndege yetu. Ndege yenu wakati kila siku unateseka na usafiri?
Wandugu.
Nimesikitika kuwaona Timu ya Taifa Kilimanjaro Stars wakienda Uganda kwenye mashindano ya CECAFA kwa Uganda Airlines.
Imebidi kuuliza ikiwa bado airTanzania tunaenda Entebbe.
Na ikiwa bado tuna njia hiyo. Je uzalendo wa TFF upo wapi?
Naonda tunajimaliza wenyewe.
 
Akili mgando. Kila anayeikosoa serikali ni mpinzani. Uwe unafikiri kwa kutumia akili. Siwezi kukulaumu kwasababu pale Lumumba mwenyekiti keshawaambia. Ukimuona mtu anaikosoa serikali ni mpinzani na jibu likawa ni NDIYO. Kwahiyo hapo umeandika kile ulichofundishwa na kukaririshwa na hakuna mtu atakayekuaminisha tofautisha na jibu la mwenyekiti.
Hizi ni hoja mufilisi

Hivi Wapinzani mmeishiwa kabisa hoja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom